Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Hata sasa ni rais wa mazezeta, mambumbu na wapumbavu kama wewe. So usimgonjee baadae
 
Wewe kweli [HASHTAG]#Maviyamende[/HASHTAG] kama ilivyo AVATAR yako
 
Yaani vyeti tu ameshindwa kuvisalimisha ndio mnataka kumpa Tanganyika aiongoze?

CCM mna akili za Bundi...!
 
Bashite huyu huyu au Makonda mwingine?
 
Akipewa urais hiyo ndo siku nitakayofanya maamuzi magumu ya kuhama nchi kwenda korea kwa kiduku.
 
Nikiwa na Brenda 4 za kutengeneza juice na malimao 5 na tangawizi za mia 4 ktk Tanzania ya Viwanda si tayari na kiwanda??

Kama ukiwa na set ya 4 ni kiwanda uzinduzi unaanza lini ?

Mhe azindue wenye set ya vitu vinne
 
Kama Bado Unaamini Chochote Anachoongea bashite Bhasi Sehemu Yeyote Utakaposikia Neno MPUMBAVU, Simama Na Useme "NIPO"!!
 

Inakuwaje anakuwa na identity 2

PCM au DAB???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…