Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Wahi buku 7 Lumumba, umeandika mwandiko mzuri sana
 
Wanakereketwa wabwia unga
664d75e9dc2f6ef39e64a67ffe328e20.jpg
 
Rais wa chama cha wacheza bao.eti rais mweee.hata ujumbe wanyumba kumi akigombea hapati
 
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam mheshimiwa paul christian makonda amekuwa shujaa wa vita tangu awe appointed na amiri jeshi mkuu mh. John pombe joseph magufuli. Yapo mambo kadhaa ambayo bila ubishi yalileta mshtuko na yalitikisa dunia ambayo hata Rais wa awam ya nne hakuweza kuyagusa. Sikuzote kweny ukweli na haki vikwazo na chuki huongezea kwa kasi kama mchanga, wa bahari [HASHTAG]#ndivyo[/HASHTAG] tunavyoona sasa mkuu huyu wa mkoa anavyoandmwa baada ya kugusa biashara nyeti ya madawa ya kulevya ambayo kwa asilimia kubwa iligusa wsnasiasa, maaskofu na wafanyabiashara. Mambo makubwa aliyoyafanya mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Paul Christian Makonda ni haya.
1. Suruhisho la mgogoro wa aridhi ambayo waziri mkuu mstaafu Frederick sumaye alimiliki kinyume na sheria. Kwa mtu mwenye akili nyufu anajua hili ni swala dogo lakn kwa sisi wachambuzi wasiasa hili suala la ardhi viongozi wakubwa weny mamlaka husika walikuwa wakiogopa kuligusa. Lakini paul makonda aliwatatulia wananchi wa mabwepande na ardhi yao ikaludi ndo kisa mpaka sasa sumaye siyo mkulima ila ni mjumbe wa kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo

2.amedhibiti panyaroad mitaani ambao walimsumbua waziri wa mambo ya ndani wa miaka ile Emmanuel Nchimbi kutaka kujihuzuru. Ukweri ni kwamba mkuu huyu wa mkoa hufanya mambo ambayo hata wa bunge hubaki midomo wazi na kuunza kuchomeka hoja zisizomahususi mala makonda ameteka roma mala amenizuia nisiende dar lakn yote haya ni kwakuwa mti wenye matunda ndo hupigwa mawe

3. Amedhibiti uchafu ndani ya jiji na kulifanya safi kama hambagi. Usafi huo siyo tu kusafisha uchafu wa takAtaka bali hata vigodoro, machsngudoa, ombaomba, wezi na vibaka hatunao tena. Kiasi kwamba unaweza tembea hata saa nane usiku manzese bila kushikwa suruali jambo ambalo tuliliona kama ndoto za mchana.

4. Amewamwaga machozi wauza madawa ya kulevya. Jambo hili ndilo lililompa sifa kuu ya kiongozi huyu kubaki madarakani na kustahl kuwa Rais wa baadae hata kama hatotaka basi tutamtumia roho mtakatifu amlazimishe kuwa rais ambaye ni chaguo la mungu.
Madawa ya kulevya kila agusaye watu wsnaouza madawa haya hakuna anayebakigi salama laxma afe. Ila kwa kuwa mkuu wa mkoa ibada kwake ni chakula ndiyo maana wauza unga wanaenda kupiga ramli kwa waganga ili afe lakini wanakufa wao.

Nisije kumaliza uhondo ila tu ndiyo hayo ambayo mkuu wa mkoa anapaswa kuwa rais wa baadae tanzania.

Next President! God forbids
 
Kwa maoni yake itakuwa hivyo lakin kumbuka ni maoni ya wengi watakaokuwa wakipuga kura!
 
Nyieeee wote mnaojiweka mbele mbele,akina makonda,polepole na wengineo,nyie wote mtakua watu wa kawaida tu,rais ajae unaeza kuta hataa kwenye system hayupo mpk saiv,na Mungu ndie anaemjua ni nani.
 
Hiki cheo cha urais watu wanakichukulia easy.. kiasi kwamba mjinga mmoja anadhan PCM atakuwa rais wa nchi hii. Naweza ni sawa ni sawa na kuku kutumia condom.. ni jamba haliwezekan kabisa
 
kula leki jamaa kafanya usajili januari, nchemb waliwahi fanya sajili kama hizi mpaka madaraja yakachafuliwa ila waliyeya
 
Badaye ndio nchi gani na uchaguzi wake ni lini inamaana iyo nchi ya baadaye haina mfumo wa vyama vingi na wagombea binafsi?
Nasubiri jibu hapa iyo nchi badaye ni ipi?
 
Back
Top Bottom