Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Wahi buku 7 Lumumba, umeandika mwandiko mzuri sana
 
Rais wa chama cha wacheza bao.eti rais mweee.hata ujumbe wanyumba kumi akigombea hapati
 

Next President! God forbids
 
Kwa maoni yake itakuwa hivyo lakin kumbuka ni maoni ya wengi watakaokuwa wakipuga kura!
 
Nyieeee wote mnaojiweka mbele mbele,akina makonda,polepole na wengineo,nyie wote mtakua watu wa kawaida tu,rais ajae unaeza kuta hataa kwenye system hayupo mpk saiv,na Mungu ndie anaemjua ni nani.
 
Hiki cheo cha urais watu wanakichukulia easy.. kiasi kwamba mjinga mmoja anadhan PCM atakuwa rais wa nchi hii. Naweza ni sawa ni sawa na kuku kutumia condom.. ni jamba haliwezekan kabisa
 
kula leki jamaa kafanya usajili januari, nchemb waliwahi fanya sajili kama hizi mpaka madaraja yakachafuliwa ila waliyeya
 
Badaye ndio nchi gani na uchaguzi wake ni lini inamaana iyo nchi ya baadaye haina mfumo wa vyama vingi na wagombea binafsi?
Nasubiri jibu hapa iyo nchi badaye ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…