Kwa sisi waandishi ambao, ni wakweli na hatuna pa kukimbilia, lazima tuendelee kuusema ukweli, no matter what na kuuandika ukweli huo bila kujali utamfurahisha nani au utamkasirisha nani na huu ndio uandishi wetu wa kisasa kwa mazingira ya sasa.Nimekupa like katika post yako [HASHTAG]#600[/HASHTAG] sio kwa kuwa nimekubaliana na ulichosema la hasha, ni kwa jinsi ulivyotumia ujuzi wa uandishi kunipangua kwa lugha tamu Ila yenye kificho katika uwazi
Galileo Galilei "The Dialogue Concerning The Two Chief World Systems"Kwa sisi waandishi ambao, hatuna pa kukimbilia, lazima tuendelee kusema na kuandika, na huu ndio uandishi wetu wa kisasa kwa mazingira ya sasa.
Makonda kifaaa japo wanahoji elimu yake lakini kwa utendaji wake, mimi nina endorse kuwa kiongozi mkubwa siku za usoni.Record anayoweka itamuuza japo anapigiwa keleleKwa sisi waandishi ambao, ni wakweli na hatuna pa kukimbilia, lazima tuendelee kuusema ukweli, no matter what na kuuandika ukweli huo bila kujali utamfurahisha nani au utamkasirisha nani na huu ndio uandishi wetu wa kisasa kwa mazingira ya sasa.
p
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.
2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
Nadhani unajuta sasa kuandika huu uzi unataka gangstar awe rais???Wanabodi,

Wanzanzibari watiifu tutaendelea kuwazawadi umakamu rais wa jamhuri na ugavana wa koloni letu la unguja na pemba.Kwahyo Hatufikirii tena kupokezana na wazanzibari ktk uraisi?....muungano huu Paschal
Wewe Njaa kwani una masirahi yoyote na Urais wa Magufili???Hapa nakubaliana na wewe ili kuleta maendeleo endelevu, lazima kuwe na malengo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu, yaani short term objectives, medium term objectives na long-term objectives na objectives hizi ziwe SMART Objectives, hili tunalijua na ni ukweli usiofichika ku roll out SGR na Stiglers Gorge ni very ambitious projects, miaka 10 tuu haitoshi kwa implementations, ndio maana sisi waona mbali, tumependekeza Magufuli aongezewa muda apatiwe muda wa kutosha kutimiza malengo yake na katiba ndio kikwazo, tuibadili katiba Maugufuli aendelee, kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu karatasi!.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwenye hili la demokrasia ni kweli Magufuli ni dikiteta, lakini nchi hii mahali ilipofika, tulimhitaji sana mtu kama Magufuli, tena tulisali na kuomba, na hatimaye Mungu akasikia sala yetu, akatupatia Magufuli, sasa mnalalamika nini?.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Hili keishaambiwa na sio tuu ameelewa, bali ameishaanza kubadilika, mwanzo aliwaona matajiri kama mashetani, wafanyabiashara kama wapigadili, sasa amebadilika, amewaita na kuwasikiliza, zamu inayofuata ni kwa wanasiasa.
Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!.
P
No sifa ya urais sio kujua na kuandika, bali ni hizi
1. Uwe na umri kuanzia miaka arobain
2. Uwe na akili timamu
3. Uwe mtanzania wa kuzaliwa
4. Usiwe imewahi kushtakiwa na kuhukumiwa kwa makosa ya jinai, uhaini, uhujumi uchumi
5. Ujue kusoma na kuandika vizuri.
sifa za ziada
at least uwe elimu ya chuo kikuu degree moja na kuendelea
sifa hizi zote tano anazo!.
P
Agombee tuu, kwa sababu hizo ndizo kwa mujibu wa katiba.Pascal, hata mlizni wangu nyumbani hizo sifa anazo
Agombee tuu, kwa sababu hizo ndizo kwa mujibu wa katiba.
Mimi nimempendekeza Makonda kwa sababu
kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!.
p