MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hapa nimepata Ukakasi sana!No sifa ya urais sio kujua na kuandika, bali ni hizi
2. Uwe na akili timamu

Wasukuma mkuu.Mayalla huwa ni watu wa asili ya mkoa gani?
Wasukuma ni moja kati ya makabila machache ambayo bado yana ukabila. Yaani msukuma akiona msukuma mwenzake ana cheo anajiona kama yeye hata kama mwenye cheo uwezo wake wa kiutendaji ni mdogo sana. Ukitaka kujua wasukuma bado wana ukabila tembelea wilaya za wasukuma tu kama Misungwi na Kwimba ndo uone kuwa wasukuma ni kati ya makabila ambayo bado yako nyuma. Viongozi wengi ambayo ni wasukuma hajawahi kufanya vizuri, hawafanyi vizuri na hawatakuja fanya vizuri. Makonda ana skendo za kujilimbikizia mali akiwa mkuu wa mkoa vipi akipewa urais?Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.
Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda, Makonda atatufaa sana. Kwa vile Makonda ni Mlolomije, kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule chapombe, na atashinda kwa kishindo na kupewa moja ya important portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli.
Kitendo cha mtu wa Kanda ya Ziwa kushika urais kama alivyo rais Magufuli, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi!. Hivyo baada ya rais Magufuli aje rais Makonda, na baada ya hapo tuendelee kule kule mpaka na makabila mengine wawe ni walio wengi ndipo nao wastahiki! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
Muislamu ndiyo madudu gani hayo? Kama mnataka uislamu si muhame, nendeni saudia. ..baadala ya kuomba tupate rais bora ; jitu la akili finyu linaleta udini! Achen elimu ahera aina mpango! Elimu dunia ndiyo mpango. ..NI ZAMU YA RAISI MUISLAMU; PUNGUZA MAPENZI PASCO
Wajinga ni sisi ambao hatumuelewi Pasco, Ukituliza akili utamuelewa tuPasko unaelekea ujingani siku hizi.
Utasubiri sana!.hii propaganda ya usukumanization unayofanya itaisha na Wasukuma wote mutaonekana watu wa hovyo kabisa subiri siku rais wenu akitoka mutaonekana watu wa hovyo kabisa.
It's contrary!.Wasukuma ni moja kati ya makabila machache ambayo bado yana ukabila. Yaani msukuma akiona msukuma mwenzake ana cheo anajiona kama yeye hata kama mwenye cheo uwezo wake wa kiutendaji ni mdogo sana.
Hapa sasa naona kama unahukumu na kulaani. Unajuaje kama viongozi Wasukuma hawatakuja kufanya vizuri?, kwani wewe ni Mungu?!.Viongozi wengi ambayo ni wasukuma hajawahi kufanya vizuri, hawafanyi vizuri na hawatakuja fanya vizuri.
Yes 2020 na mimi nitagombea urais....Hata wewe paskali unafaa kugombea uprezdah 2020 tangaza nia tu!
Ova
Anaweza kuja kurithishwa au baada ya kumuona ana uwezo, ni halali yake kuja kumpokea, na ndio maana sisi wengine tayari tumeisha anza kumpigia chapuo!.mkuu Pascal Mayalla there's only one explanation - Makonda is after glory. alitaka ionekane ni juhudi yake yeye binafsi.
huyu dogo asipopigwa break na ninyi Watanzania, mimi nakwambia awamu ijayo anaweza kuja kurithishwa kile kiti cha mfalme!
hahahaaa!Anaweza kuja kurithishwa au baada ya kumuona ana uwezo, ni halali yake kuja kumpokea, na ndio maana sisi wengine tayari tumeisha anza kumpigia chapuo!.
P.
ukabila hata kwa wasomi ni kitu kibaya sana,basi mwambieni akaongeze elimu na atafute vyeti vyake asitumie vya mwingine.ila marais wengi wanapishana,akimaliza muislamu anafuata mkristo japo mi sipendi udini ila naona hii series ipo.Nyerere-Mwinyi,Mwinyi -Mkapa,Mkapa -Kikwete,Kikwete -Magufuli.Magufuli labda atafuata Zitto Kabwe naamini atakuwa keshahamia CCM asipokuwa yeye basi atakuwa yule mtoto wa mwinyi waziri wa ULINZI,Kwa upinzani wakibahatika sana atakuwa Fatma Karume nahc tu,hahahahahaaaa nimekumbuka alivyosema kwenye kikao eti Mayala inamaanisha njaa kwa lugha yao hiki kidongo cjui kwa nn alikitoa hlf najiuliza kwa nn hadi leo hajakupatia uongozi wowt we ni mtu makini sana tena sana huwezi kulinganishwa na Muro,Katambi na wengine wasio na akili walio viongozi km akina mseti,we aina yako ni General Ulimwengu na Dr wangu Shivji na T.Lisu,ipo siku utonekana tu wasipokuona leo,ksh watakuona wenye akili ila hizi ni hazina mhm sana kwetuWanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.
Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda, Makonda atatufaa sana. Kwa vile Makonda ni Mlolomije, kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule chapombe, na atashinda kwa kishindo na kupewa moja ya important portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli.
Kitendo cha mtu wa Kanda ya Ziwa kushika urais kama alivyo rais Magufuli, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi!. Hivyo baada ya rais Magufuli aje rais Makonda, na baada ya hapo tuendelee kule kule mpaka na makabila mengine wawe ni walio wengi ndipo nao wastahiki! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
ha ha ha ha ha ha jibu zuriYes 2020 na mimi nitagombea urais....
wa PPR. Hatua ya kwanza tutakwenda Brella kubadili zile articles of association na referendum of PPR company badala ya kuongozwa na Managing Director, itaongozwa na President of PPR group of companies hivyo 2020 nitagombea urais.
P.
Naomba niwe katibu mkuu kiongozi wa PPRYes 2020 na mimi nitagombea urais....
wa PPR. Hatua ya kwanza tutakwenda Brella kubadili zile articles of association na referendum of PPR company badala ya kuongozwa na Managing Director, itaongozwa na President of PPR group of companies hivyo 2020 nitagombea urais.
P.
Kuna tetesi amehusishwa na ufisadi bandarini.Anaweza kuja kurithishwa au baada ya kumuona ana uwezo, ni halali yake kuja kumpokea, na ndio maana sisi wengine tayari tumeisha anza kumpigia chapuo!.
P.