Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Nimekupa like katika post yako [HASHTAG]#600[/HASHTAG] sio kwa kuwa nimekubaliana na ulichosema la hasha, ni kwa jinsi ulivyotumia ujuzi wa uandishi kunipangua kwa lugha tamu Ila yenye kificho katika uwazi
 
Huyu labda abadilike sana, hii ya juzi juzi, WANAWAKE WAENDE OFISINI KWAKE KUTOA MALALAMIKO YA "KUTELEKEZWA" NA WAZAZI WENZIO, kisha ofisi yake kudai itachukua hatua kwa hao wanaume, IMENISHANGAZA!! Hao watu wakati wanagongana, ofisi yake inajua makubaliano yao?? Kuna baadhi ya vitu aache nature ifanye kazi yake.
 
Nimekupa like katika post yako [HASHTAG]#600[/HASHTAG] sio kwa kuwa nimekubaliana na ulichosema la hasha, ni kwa jinsi ulivyotumia ujuzi wa uandishi kunipangua kwa lugha tamu Ila yenye kificho katika uwazi
Kwa sisi waandishi ambao, ni wakweli na hatuna pa kukimbilia, lazima tuendelee kuusema ukweli, no matter what na kuuandika ukweli huo bila kujali utamfurahisha nani au utamkasirisha nani na huu ndio uandishi wetu wa kisasa kwa mazingira ya sasa.
p
 
Makonda kifaaa japo wanahoji elimu yake lakini kwa utendaji wake, mimi nina endorse kuwa kiongozi mkubwa siku za usoni.Record anayoweka itamuuza japo anapigiwa kelele
 
Watanzania hawataki rais dikteta ndio maana unaona sasa nchi haina amani kwasababu watu wengi wanaipinga "serikali".

Kwanza kwa kuanzia na huyu aliye madarakani sasa hafai kabisa. Huhitaji hata kuangalia matendo yake, akifungua mdomo wake tu unajua hapa hamna kitu.

Huyo aliyegushi vyeti ndio usiseme kabisaa, sitoweza kumwamini hata kuwa karani wangu achilia mbali urais!
 
Kuwa RC tu tayari kunamfanya afikiriwe na kuwa rais......haya mawazo mfilisi kabisa.
Mtu mwenyewe anaendesha propaganda tu Dar na hakuna hata alilofanikisha. Ur ndio maana hata hatuendelei.
 
Nadhani unajuta sasa kuandika huu uzi unataka gangstar awe rais???

Pascal Mayalla
 
Wewe Njaa kwani una masirahi yoyote na Urais wa Magufili???
 
Pascal, hata mlizni wangu nyumbani hizo sifa anazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…