Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Kwa mada zako hizo kuna nawili: ama unawinda uteuzi au una agenda ya siri uijuayo mwenyewe!!!?!
 
Atarufaa lakini kwa bahati mbaya haitakaaa itokeee awe Rais wa JMT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atarufaa lakini kwa bahati mbaya haitakaaa itokeee awe Rais wa JMT
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni nani hadi useme haitakaa itokee?, wewe ndio unapanga?, mpangaji akipanga, amepanga na inatokea. Angalia hizi trends
p
 
Hivi yule alovamiaga kituo Cha redio na kulazimisha kumzalilisha Gwaji ndo leo awe rais?
Aloingiza makontena ya dili,
Anayetuhumiwa kivamia akina Roma na wengineo si ndo huyu huyu??
Leo unampendekeza awe rais, kweli we jamaa ubongo mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zamu ya Muislam na pia Rais hawezi Toka Usukumani na Tena kanda ya ziwa

Nchi sio ya kikabila hii ni ya watanzania wote



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna asiyejikomba kwa Boss wake.
Usa inajikomba kwa Isareal.

Iran inajikomba kwa Ussr

Mke anajikomba kwa mume.
Halikadhalika Mume anajikomba kwa Mke.

Nabii wa mungu??

Mungu alisema "Si kila aniitaye Bwana.....

Akafafanua zaidi Manabii wa kweli mtawajua kwa matunda ya vinywa vyao!...

Akatoa onyo "jihadharini na manabii...

Je Pascal hao unao sema tusiwapinge ni wale wa kweli au wa uongo????
 
Punguza njaa mkuu kama jina lako Kwahiyo unataka iwe nchi ya wasukuma
 


kwani na wewe ni nani hadi useme itatokea? au wewe ndiyo huwa unapanga itokee?
 
kwani na wewe ni nani hadi useme itatokea? au wewe ndiyo huwa unapanga itokee?
Duh...!,, mkuu kei Musese, kiukweli humu jf tuna vilaza wa kila aina!. Kuna popote mimi ndio nimesema itatokea? au ni itatokea katika YEYE?.
Au hata neno "katika YEYE" pia nikutafsirie?.
P
 
Mzee wa kudhihaki..
 
Akutukanaye hakuchagulii tusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

“Sukuma wa” Remmy Ongala

Unajua wachaga au wahaya wakiwa wawili tu sehemu watu wanasema ukabila lakini wanasema kwa haya makabila tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…