Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Yeah sure utawala wa mwendazake

Tulipata kuwaona wanasiasa makanjanja na waandishi wa habari waliogeuka kuwa makanjanja [emoji1]
 
Sorry you have missed the point!. Nimesema nilipomtaja, nilitoa sababu, nakuuliza tena, hiyo sababu kwanini baada ya JPM, Makonda atatufaa sana!. Kwa vile kuweza kusoma kitu in between the line ni uwezo, na sio wote wana uwezo huo, kama wewe hujaweza kuziona sababu nilizoweka, its just fine, I will help you.
To start with niliposema Makonda atatufaa, jee nilitoa sababu gani?. Usipoiona sababu niliyoitoa, nitasaidia.
P
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pascal mim sijaona hizo sababu, na nashangaa kwann unafanya masihara na taasisi ya urais, kwangu binafsi toka moyoni ni bora wew Pascal uwe rais wa Tanzania kuliko uyo bashite wako

Narudia tena, bashite endapo akiwa rais hata wew pascal utakua mkimbizi wa kisiasa uko ulaya
 
Sababu ni hii
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.
Pia niliuzungumzia huo uthubutu,
Can you connect the dots?.
P
 
Sababu ni hii

Pia niliuzungumzia huo uthubutu,

Can you connect the dots?.
P
I have respect for you Ila kwa hizi sababu zako aisee hebu jiulize Mara mbili kama ni kweli hiki ulichoandika ndio unachoamini. Sitaki kuamini kwamba ulikuwa serious brother maana you are better than this.
 
Aisew bado unatamani Makonda awe President wa hii nchi ?
Are you serious.
Mungu ninayemuamini mimi hawezi kuruhusu hilo, kama aliingilia kati na kutuondolea Dikteta, hawezi kuruhusu Chizi ku command Bunduki za hii nchi kwa kuwa CinC
 
I have respect for you Ila kwa hizi sababu zako aisee hebu jiulize Mara mbili kama ni kweli hiki ulichoandika ndio unachoamini. Sitaki kuamini kwamba ulikuwa serious brother maana you are better than this.
Moja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.
P
 
Aisew bado unatamani Makonda awe President wa hii nchi ?
Are you serious.
Mungu ninayemuamini mimi hawezi kuruhusu hilo, kama aliingilia kati na kutuondolea Dikteta, hawezi kuruhusu Chizi ku command Bunduki za hii nchi kwa kuwa CinC.
Moja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.
 
Moja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.
Mkuu, hoja yako haipo , wala siwezi kuiita hoja dhaifu
Yaani una Propose Mtu aliyedhulumu haki za kuishi (Kuondolea watu Maisha, kuua) awe Raisi wa nchi.
Hapana Mkuu, hapa tutakupinga, hatutaki kurudia aliyotufanyia Mwendazake
 
Moja ya sifa kubwa ya Jf, ni kubishana kwa hoja na sio kwa viroja. Kwenye bandiko hili, nimempendekeza Makonda kwa hoja, na hoja zangu nimeziweka, pangua hoja, kwa hoja au kwa hoja mbadala na sio kuendelea kunisakama mimi mtoa hoja!.
P
Boss kama sijakubaliana na hoja zako Ina maana zangu ni tofauti za hizo ulizoweka Yani kama ilikuwa Yes we chukulia ni No.

Bashite hana busara ya kuwa Rais wa nchi, kiongozi wa nchi anapaswa kuwa na busara kubwa sana.

Bashite anapenda kujimwambafai na kunyenyekewa bila sababu na ubabe wa kitoto na unyang'anyi pamoja na kupenda makuu kama magari ya kifahari kuvunja protocol za uongozi Mara kwa Mara tumeshuhudia akiweka namba za RC kwenye gari zake binafsi ilihali aonekane ni RC wakati gari iliyopaswa kuwa na kibao hicho ni Ile aliyopewa na serikali pekee.

Bashite ametumia sana madaraka yake kuwaumiza watu ikiwemo wafanyabiashara na watumishi mbalimbali mpaka kuwanyang'anya Mali zao ikiwemo kampuni ya NAS Hauliers ambao baada ya kukataa kumnyenyekea aliwapa kesi ya kuuza madawa ya kulevya mpaka wakaamua kuhama nchi wakahamia South Africa.

In short hafai kabisa kuwa kiongozi, aliwatukana watumishi waliokuwa wanadai nyongeza ya mshahara ingali ni haki yao yeye akaongea kwa dhihaka kubwa na dharau kwamba angewatandika viboko wakati mishahara haikuwa imepanda kwa miaka kadhaa Wala madaraja ya kikazi.

Hizi ni baadhi tu ya mambo ambayo yanamuondolea sifa maana yanaonyesha ana kiburi na hayupo tayari kuwasikiliza wananchi wake na kutatua matatizo kwa njia ya busara.

Kiufupi hafai kabisa.
 
Habari sheikh yahya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…