Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Hii post inanukia ukabila sana, Mayalla unaonekana ni mkabila
 
Pascal hebu jaribu kumuogopa Mungu.
Yaani unamzungumzia Makonda huyu huyu alotupigia mzee wetu Warioba!
kampiga mzee tena jaji na waziri mkuu mstaafu sa unazani atashindwa nini kutukandamiza wanyonge.

Makonda nduguye Sabaya kwa uovu!!! Pascal wakati mwingine nashindwa kukuelewa dhamira yako kwani you are not even SATIRECAL!!!
 
Pasco bana na watanzania wengi wana dhani part ya brain yenye high functional test ni medulla
Ni neno tuu la kuwakilisha using your brain, ingawa kibaiyojia, medulla oblingata ina deal na motor actions, kama yanavyozungumzwa mambo ya moyoni, kibaiyojia kazi ya moyo ni moja tuu, pumping the blood for circulation.
P
 
Hii post inanukia ukabila sana, Mayalla unaonekana ni mkabila
Mkuu Kong Chi , sisi ni Wasukuma, Wasukuma sio makabila!, ni watu poa sana !.

P
 
Labda aupate huo urais kwenye ndoto. Pamoja na ujinga wa watanzania, Bashite kuja kuwa rais halitawezekana.
Lisilowezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana!

P
 

Nikiwaambien Pascal hajielewi ndo hivyo!
 
NINACHO KISOMA KWENYE ANDIKO HILI NI MATAMANIO TU YA KIBINADAMU KWA MUANDISHI WA MAKALA HII, NA MUANDISHI BADO HAJAAMUA KUKUBALI UKWELI KUA ALIETABIRIWA ALIMUANGUSHA SANA. MUANDISHI ANA ENDELEA KUOTA HAHAHAAA. SITAKI KUSEMA SABABU NI ILE TAFSIRI YA AWAMU YA TANO YA NENO ''mayalla''
 
I used to assume you had 'analytical thinking'
 
I used to assume you had 'analytical thinking'
Kwenye mashindano ya urembo yanayohusisha mabinti 100, kunatafutwa top ten, ndio wanaingia fainali. Na kuna kundi la lat ten, wale kumi wa mwisho walivuta mkia. Sasa ukichukua kundi hilo la kumi wa mwisho, ukawashindanisha wao peke yao, pia kutaibuka number 1 kwenye hao kumi.

Hivi ndivyo na mimi nilivyo, kwenye ma analyst 100 wa humu jf, mimi ni wa 99, hivyo kuna angalau mmoja nimempita hivyo na mimi ni analyst na nina analytical thinking ya wale wa level yangu lile kundi la kumi la mwisho kwenye 100!.

Kwenye bandiko hili kuna very good analysis ila inahitaji mtu uwe na jicho la 3 kunielewa!, kama wewe ni mtu wa macho mawili tuu, utaishia chaka.

P
 
Ulimtabiria vizuri sana na angefika mbali, lakini alijiharibia mwenyewe kwa kiburi, jeuri na dharau na ikaja vyeti ndio iliyoua kabisa ndoto zake, kisha wewe mwenyewe ndio hua ukiudhika unaandika uzi wa karma, uliwahi kuandika karma dhidi ya magufuli, ndugai na the like so tusonge mbele
 
The good thing about you is, you are not emotional.
Hulipuki hata Kama hujapenda kilichoandikwa.
You agree to disagree and that shows maturity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…