Sasa hivi umeamua kuandika articles controversial ili uone tuta react vipi. Paschal na wewe umekuwa mtu wa kutafuta kiki?Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.
2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
Nami nimeshangaa sana mtu anayejiita mwanahabari mbobezi na msomi leo hata 2020 bado anazungumzia 2025!!! Na yupo na uhakika kwamba aliyepo atafika huko bila kuhesabu sababu zinazoweza mfanya asifike!!Mzee Kassanda Tumbo Aliwahi Kusema Ili Umtawale Muafikra Kifikra Kwanza Mnyime Chakula Pia Na Mbinu Zote Zinazoweza Kufanikisha Hilo Basi Atakuwa Mtumwa Wako Milele.
Pili Muonyeshe Kwamba Wewe Ni "Antidote" Ya Matatizo Yake Na Ni Wewe Pekee Unao Uwezo Wa Kuyatatua Baaaaaaaaaaaasi Kwisha Kazi.
Hata Ukimwambia Ning'inia Kwenye Mti Afanya Tu Na Kukuheshimu Na Kukuogopa Zaidi Ya Mungu Wake.
Akiwa Na Maana Ukili-control Tumbo La Mtu Basi Ushamshika Kiakili Na Atakuheshimu Milele Kama Utamnyima Fursa Ya Uhakika Wa Kula
Na Kama Ukiwa Na Madaraka Na Kuyatumia Kwenye Mfumo Huo Utaongoza Milele Kama Utakosa Busara Ya Utawala
Hivyo Sishangai Sana Nikiona Mtu Kama Pascal Mayalla Akiandika Vitu Kama Hivi Kwa Kuwa Sababu Ziko Wazi
Mfano Mzuri Huu Uzi Wa Pascal Tayari Kisaikolojia Anajifanya Kama Vile Anajua CCM Haiwezi Kutoka Madarakani Ndiyo Maana Leo Anathubutu Kuzungumzia Uchaguzi Wa Uraisi Wa Mwaka 2025.
Na Hizi Ndiyo Changamoto Kubwa Vyama Vya Upinzani Wanatakiwa Watambue Kwanza Kwenye Jamii Yetu
Ili Kutawala Wanatakiwa Kwanza Kuweza Kuwekeza Kwenye Miradi, Elimu Na Uchumi Ili Wazee, Wakina Mama Na Vijana Wasiwe Na Akili Tegemezi
Waweze Kuwajengea Misingi Mizuri Ya Kuondokana Na Umaskini Badala Kuwekeza Nguvu Nyingi Kwenye Uwashawishi Wa Maandamano Na Mikutano Pekee
Swali Litakuja Watawezeshaje? Wawakusanye Vijana, Wazee Na Wakina Mama Kwa Makundi
Chama Kiwe Na Miradi Yake Kwenye Kila Tawi Itakayotoa Ajira Na Kuwapa Fursa Wengine Kujifunza Huku Wakieneza Sera Zao Kwa Vitendo Na Nadharia
Chama Pia Ki-support Na Kiwe Na Fungu La Kuwawezesha Hao Wenye Mafunzo Wajiajili Au Waajiliwe Kujikwamua Na Njaa
Watanzania Wanataka Mafanikio Ila Pa Kuyapata Ni Shida Hususani Ukiwa Na Njaa,
Tumeona Mifano Mingi Vijana Wakiwaona Viongozi Kwenye Maeneo Yao Cha Kwanza Kulia Ni Njaa Au Serikali Tusaidie Na Wao Wanafurahi Sababu Waanona Dawa Kweli Inawaingia
Kisaikolojia Vijana Hawajitambui Kuwa Wanaweza Kubadili Maisha Yao Na Kufanya Maamuzi Yao Bila Shuruti La Njaa
Na Hata Kama Wanajitambua Zile Njia Za Kujiwezesha Zimebanwa Ili Njaa Iwazofishe Kifikra Na Kuamini Serikali Ikiamua Kitu Haishindwi Hata Kukufirisi Ikiwezekana Hata Kama Umefanikiwa Kiuchumi
Ndiyo Maana Leo Tunaona Wenye Weredi Na Ushawishi MKubwa Kwenye Jamii Wanapoteza Mwelekeo Ili Wakae Mstari Mmoja Na Nyie Tayari Njaa Imewapoteza
Njaa Inakufanya Usifikiri Kwa Marefu, Njaa Inaweza Kukutia Upofu Usione Mbali, Njaa Inaweza Kukushawishi Ukafanya Mambo Ya Ajabu Sana
Leo Hii Ni Mwaka Na Miezi Kadhaa Pascal Mayalla Ameandika Uzi Huu Kwa Mawili Kwanza Kwa Mafumbo Pili Kama Vile Njaa Imempitia Hivyo Anashindwa Kifikiri
Najiaminisha Kwamba Alichoandika Sicho Alichomaanisha Sababu Pascal Mayalla Anamng'ong'a Tu Raisi Na Makonda
Sababu Sifa Kama Hizi Wale Mabwana Wakubwa Ndizo Wanazopenda Kusikia Na Ikiwezekana Pascal Akafanikisha Anayoyataka
No way, yani tuongozwe na wagonjwa wa akili kwa miaka 20? NO WAY!Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.
2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
Ni kweli ila awe Mwislam Msukuma.NI ZAMU YA RAISI MUISLAMU; PUNGUZA MAPENZI PASCO
Hahaahaa! Ni zamu? LoohNI ZAMU YA RAISI MUISLAMU; PUNGUZA MAPENZI PASCO
Kijana mara nyingine wazee/wanaume tukiongea kaa kimyaMkuu ujasiri wa kijinga wa wote wawili ni janga. Tunataka tuwe ahueni kuliko 1961, cha ajabu tunaendeleza vituko. Na wewe unaendeleza vituko.
Haya mazungumzo ya wazee wenye ndevu na mvi za kutosha tunapojadili masuala ya Nchi na utawala tunajua...kabla ya kupeleka kwa wananchi.Wewe kaa kimya tukichoka tunakutuma gazetiNami nimeshangaa sana mtu anayejiita mwanahabari mbobezi na msomi leo hata 2020 bado anazungumzia 2025!!! Na yupo na uhakika kwamba aliyepo atafika huko bila kuhesabu sababu zinazoweza mfanya asifike!!
Huyu kijana anatia kinyaa sana!
Wezee au wanaume wa busara za Lumumba wanaoshabikia ukosefu wa elimuKijana mara nyingine wazee/wanaume tukiongea kaa kimya
Makonda ana kipi special kiasi cha kumuona anafaa?
anza na mwaka wake mmoja wa ukuu wa mkoa ni innovation idea gan iliyowasaidia wananchi zaidi ya siasa za muda mfupi?