Kwa kipondo hicho lazima atafungua tu!! Na kwa taarifa yak tu sasa hizi wanamnyoosha kwanza kibaka huyu baadaye akishanyooka wanaweza kupitisha bila wasi wasi wowote. Iran mwenyewe kąsali u amri kuwaondoa askari wake sasa kazi imerahisika sana!!Marekani hapo Yemeni kayatimba tangu aangushe mabomu mazito mpaka Leo houth bado wameifunga bahari ya red sea
View attachment 3292485
Halafu waarabu sijui wanashida gani kichwani yemen kadungua hizo drone zimefika 16 ila ndo kwanza qatari na UAE wamepewa hizo droneMarekani hapo Yemeni kayatimba tangu aangushe mabomu mazito mpaka Leo houth bado wameifunga bahari ya red sea
View attachment 3292485
Vyanzo vyako vya habari jaribu kuviangalia vizuri. Usije ukawa unachukuwa habari kwa mtu mfano wa Lukas MwashambaIran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi.
Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji mkono wake kwa washirika wake wa kikanda ili kuzingatia vitisho vya moja kwa moja vinavyotokana na utawala wa Trump.
Afisa huyo pia anasema kuwa hatua hiyo kutoka Yemen imefikiwa ili kuepusha uwezekano wa kuongezeka msuguano na Marekani ikiwa mwanajeshi wa Iran atauawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani huko.
Tehran inaelekeza nguvu zake badala ya jinsi ya kujibu Rais wa Marekani Donald Trump na orodha yake ya vitisho, na "hakuna kundi lolote la kikanda tulilounga mkono ambalo linajadiliwa," afisa huyo amenukuliwa akisema.
Tokea vita ya ghuba kati ya Iran na Iraq iishe, lini Iran aliwahi kushambuliwa nchini mwake ukiondoa hi ya Israel mara 2 mwaka jana? Na baada ya kipigo, Iran wameendelea kuipiga mkwara Israel?Hizo ni propanda za vita! Mkono wa Iran mashariki ya kati bado una nguvu.
Marekani haikuanza leo kupambana na kikundi hii cha Houthi,ni muda lakini bado kikundi hiki kina nguvu.
Mwisho,usegemee vyanzo vya habari vya nchi za West,fuatilia na vyanzo vingine duniani.
Ambavyo ni ALJEZEERA 😂😂😂😂Hizo ni propanda za vita! Mkono wa Iran mashariki ya kati bado una nguvu.
Marekani haikuanza leo kupambana na kikundi hii cha Houthi,ni muda lakini bado kikundi hiki kina nguvu.
Mwisho,usegemee vyanzo vya habari vya nchi za West,fuatilia na vyanzo vingine duniani.
Russia,China,nkAmbavyo ni ALJEZEERA 😂😂😂😂
Huna hata link ya hio habar...maana imekaa kutungwa tungwa tuhIran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi.
Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji mkono wake kwa washirika wake wa kikanda ili kuzingatia vitisho vya moja kwa moja vinavyotokana na utawala wa Trump.
Afisa huyo pia anasema kuwa hatua hiyo kutoka Yemen imefikiwa ili kuepusha uwezekano wa kuongezeka msuguano na Marekani ikiwa mwanajeshi wa Iran atauawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani huko.
Tehran inaelekeza nguvu zake badala ya jinsi ya kujibu Rais wa Marekani Donald Trump na orodha yake ya vitisho, na "hakuna kundi lolote la kikanda tulilounga mkono ambalo linajadiliwa," afisa huyo amenukuliwa akisema.
Sawa mvaa vitengeMimi nataka Iran ashupaze shingo kwa kichaa Trump, yaani makobaz hamtakaa msahau kitakachowakuta.
Ngoja nikupe hizo link sasa!!Huna hata link ya hio habar...maana imekaa kutungwa tungwa tuh
Sawa mvaa vitenge
Unataka nifatilie Aljazeera mdau wa Ugaidi?Hizo ni propanda za vita! Mkono wa Iran mashariki ya kati bado una nguvu.
Marekani haikuanza leo kupambana na kikundi hii cha Houthi,ni muda lakini bado kikundi hiki kina nguvu.
Mwisho,usegemee vyanzo vya habari vya nchi za West,fuatilia na vyanzo vingine duniani.
Safari hii Mtanyooka tu!!