Wewe piga tu propaganda za wazayuni. Meli ya mzayuni na jinga lake marekani haziputi bahari nyekundu.
Babdari ya Eilat ya Mzayuni imeisha kufa kifo Cha mende.
Uchumi wa Israel unapumulia mashine, wa marekani ndio unakwenda kufa pia ndio maana Trump anatapatapa kutafuta Kodi za nguvu hajui akiongeza hizo Kodi za uagizaji bidhaa ni marekani mtumiaji ndio atalipa.
Dunia mpya inakuja , hakuna uzayuni , hakuna marekani.
Dunia mpya inakuja ya kusimika Islamic State itawale dunia chini ya Utawala wa Khalifa.
Dunia mpya ya kuongozwa na Sharia za Kiislamu.
Wanaume tulazimishwe kufuga ndevu.
Tuishi kama wanavyoishi raia wa Afghanistan.
Wayahudi na Wakristo walazimishwe Kuslimu na kuimba La illah ila Allah Muhamadi Rasulillah?
La tulipe Jazya la tuuliwe:
Hilo sahauni kwakuwa kiongozi wetu alisha tupa tahadhari na nguvu.
Aliliona hilo kabla ya hiyo dini kuwepo duniani.
Alijua kabisa itakapo kuja hiyo dini haitachangamana na imani ya yake, wafuasi wake watachinjwa kama kuku kama wakikataa kujiunga nayo:
Mathayo (Mat) 10:34
Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
Luka 22:35
Akawauliza, Je! Hapo nilipowatuma hamna mfuko, wala mkoba, wala viatu, mlipungukiwa na kitu?
Wakasema, La!
36 Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.
Msahau kabisa lengo la kuwatawala Wakristo.
Jesus Christ is there to protect his disciples:
Wakristo hatujaambiwa popote tuwa harasi watu wa imani tofauti.
Tumeambiwa tuwapende wote na kuwaombee waipate neema ya Kristo.
Naskia wengine wameambiwa wakituona watulazimishe tuwalipe kodi sababu ya imani tofauti tu, au watusilimishe au watuchinje yaani bila sababu yoyote:
Bado nashangaa hadi kesho, ni Mungu gani huyo awaumbe Wakristo halafu azunguke kwa wengine kuwaamuru watuchinje bila kusema sababu wala kujitetea ?