Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

TRUMP chapa sana watu wasiokuwa na YESU wa KUWAPIGANIA hawana YESU HAWANA MAISHA...
 
Wewe piga tu propaganda za wazayuni. Meli ya mzayuni na jinga lake marekani haziputi bahari nyekundu.
Babdari ya Eilat ya Mzayuni imeisha kufa kifo Cha mende.
Uchumi wa Israel unapumulia mashine, wa marekani ndio unakwenda kufa pia ndio maana Trump anatapatapa kutafuta Kodi za nguvu hajui akiongeza hizo Kodi za uagizaji bidhaa ni marekani mtumiaji ndio atalipa.
Dunia mpya inakuja , hakuna uzayuni , hakuna marekani.
 
Taarifa za leo ni kuwa mpaka sasa wametumia dola bilioni moja lakini hakuna mafanikio yoyote,mji wa makombora wa chini wa houthi na vifaa vyao vipo salama,bwana trump kaongeza madege kuwatwanga houthi,dalili kabisa kwamba mambo hayajaenda sawa
 
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!!!
 
Dunia mpya inakuja ya kusimika Islamic State itawale dunia chini ya Utawala wa Khalifa.
Dunia mpya ya kuongozwa na Sharia za Kiislamu.
Wanaume tulazimishwe kufuga ndevu.
Tuishi kama wanavyoishi raia wa Afghanistan.
Wayahudi na Wakristo walazimishwe Kuslimu na kuimba La illah ila Allah Muhamadi Rasulillah?
La tulipe Jazya la tuuliwe:

Hilo sahauni kwakuwa kiongozi wetu alisha tupa tahadhari na nguvu.
Aliliona hilo kabla ya hiyo dini kuwepo duniani.
Alijua kabisa itakapo kuja hiyo dini haitachangamana na imani ya yake, wafuasi wake watachinjwa kama kuku kama wakikataa kujiunga nayo:

Mathayo (Mat) 10:34
Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
Luka 22:35
Akawauliza, Je! Hapo nilipowatuma hamna mfuko, wala mkoba, wala viatu, mlipungukiwa na kitu?
Wakasema, La!

36 Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.

Msahau kabisa lengo la kuwatawala Wakristo.
Jesus Christ is there to protect his disciples:

Wakristo hatujaambiwa popote tuwa harasi watu wa imani tofauti.
Tumeambiwa tuwapende wote na kuwaombee waipate neema ya Kristo.

Naskia wengine wameambiwa wakituona watulazimishe tuwalipe kodi sababu ya imani tofauti tu, au watusilimishe au watuchinje yaani bila sababu yoyote:
Bado nashangaa hadi kesho, ni Mungu gani huyo awaumbe Wakristo halafu azunguke kwa wengine kuwaamuru watuchinje bila kusema sababu wala kujitetea ?
 
Huko Afghanistan wengi wa raia wake wanataka kuikimbia hiyo nchi kuzikimbia Sharia Laws.
Nchi nzuri ni ile inayoamua mambo yake kutokana na Katiba waliojiwekea kwa ridhaa ya wote na sio kufuata maneno ya mtu fulani wa hapo kale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…