Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Sio baada ya malalamiko mengi, ni baada ya uchaguzi kukaribia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magari ya ujenzi nayo yako hoi kama barabara yenyewe
Huo ujenzi au uchafu
Ujenzi wa kihuni tu huoMagari ya ujenzi nayo yako hoi kama barabara yenyewe
Baada ya.miaka 5 watakuja tenaNjia ya Kivule kwenda Banana ambayo ilikuwa kero nimeona imeanza kukarabatiwa, kwa kipindi cha wiki nzima naona mkandarasi yupo site jambo ambalo kidogo limenipa faraja.
Hii barabara kwa muda mrefu imekuwa ikitupa tabu sana wananchi hasa wakazi wa maeneno ya Banana hadi Kivule, ilikuwa haifai hata Ambulance kupitisha mgonjwa kila sehemu ni mashimo, unafika nyumbani kama ulikuwa kwenye mapagano.
Soma pia ~ Hadha ya ubovu wa barabara kivule