Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Wewe njaa kali una stress kwa kuondokewa na nduguyo. Huna jipya.
 
Mama anafaa kuongozi TOT band na kula urojo,uraisi hawezi yani ni mweupe
 
Akufukuzae hakuambii toka”
Na Rais akitoa kauli sio lazima afukuze ila la kufukuza mtu kaishalisema kama huyo jamaa kaelewa aondoke tu kwani kuna na bifu na mkubwa kwako kicheo tena top haina afya kabisa

Aliposema atawatoa ili waende kujiandaa na 25 hiyo kauli maana yake ondoka

Hapo ni uamuzi wake sasa aidha kukomaa na kumkodolea macho Boss au aende
Huenda alikosea kwenda hewani badala ya kwenda kule kweupe kukutana ana kwa ana ingekuwa bora zaidi ila naona hapo pia aliona sio same gender akafanya dharau huku akijua kuna mpaka hawezi kuvuka

Aidha ajishushe na kwenda kuonana nae au akomae kidume ingawa hatakuwa na furaha
Downloading.........
 
Unaifahamu nguvu ya Rais wa JMT? Kura ya kutokuwa na imani hapa Tanzania? Na hili hili bunge la ndugai? Lady, what have you been smoking?
 
Unakosea sana unaposema Rais ni boss wa Spika! Unbelievable!
JPM alisema huu ni mhimili uliojichimbia chini zaidi. Ndio mhimili unaotafuta hela na kulipa.

Kwa katiba hii kiukweli kabisa, Rais ni bosi wa Spika na Jaji Mkuu. Sasa mathalani Jaji mkuu anateuliwa na Rais, hivi kiukweli Rais sio bosi wake? Aliyekuteua ataachaje kuwa bosi wako???Spika ni mwanachama wa CCM ambapo Rais ndio Bosi wa chama.... kweli kabisa unadhani Rais sio bosi wa spika??

Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini ya Rais, BOT na vyanzo vyote vya mapato viko chini ya Rais..

Kwa katiba hii, narudia tena kwa katiba hii, baada ya Mungu mwenye mamlaka kuu katika nchi ni Rais

Hii mihimili mingine ipoipo tu...

Kama vipi wabishe waone...
 
[emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Muhimili umesutwa.... Mipasho....

Infact nchi yetu ni ya hovyo sana... Yaaani spika kafanya kazi yake halafu kaomba na msamaha... Baadae kapigwa mipasho.... Na bado amekomalia kiti...

Mkuu tatizo la viongozi wetu ni ugali... Vieitte... So hawez kuachia ngazi... Nadhani hadi wao wamuachishe iwe kwa aibu au dharau.
 
Turudi sasa kwenye ukweli; unadhani watakubalika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…