Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Watoto wa mjini tunasema hana connection
 

Kuna mtu kasema hatakiwi kugombea?

Hata hivyo, ni makosa kumlinganisha huyu na watu ambao hawakuwa marais kwa kubebwa na katiba. Hao wengine walipatikana kwa kushindanishwa na watu wengine kipindi chao cha kwanza. Kwa huyu, no one ran against her; hajapitia mchujo wa kawaida wa wagombea urais. Katika hali ya kawaida, mtu anayemalizia ngwe ya mtu mwingine hastahili kuachwa agombee pekee yake!
 
Ccm weng nja njaa wakipewa bahasha zakaki wanakenua na kupitisha jina elekez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Rais Trump alikuwa hamzodoi speaker Nancy Pelosi ?!!!🀣🀣
 

..huyu Maza huenda amebeba mengi kifuani kwake.

..unakumbuka kikao chake cha kwanza cha barraza la mawaziri baada ya kuapishwa kuwa Raisi walimpa peni ya kijani badala ya nyekundu?

..maskini mama wa watu akaomba apewe peni nyekundu ya Raisi.

..je, tukio lile lilikuwa sehemu ya vitimbi na kejeli kuwa SSH ni Raisi wa mpito?
 
😳😳😳Duuuh....

#Siempre Chief Hangaya πŸ™
 
Lakin Ndugai hayuko peke yake yupo na wale hawala zake 19 bungeni watamfariji
 
Acha wafu wafukuane na wazikane kwanza Bungeni hakuna upinzani pia Mwenye muhimili wake hana pakujiegesha maana upinzani hakuna na bunge lote Mboga nani wa kuinua mdomo kusupport Job subiri Muda utaongea
 
Ingekuwa ni ushauri toka kwangu, ningesema akomae tu mpaka kieleweke. Akijiondoa na kujiweka pembeni ni kutoa nafasi kwa watesi kukutwanga bila wewe kuwepo, watafanya wanavyotaka. Ukizira wenzio wala yakhe!
Kama ulivyosema, siamini kama Job ana mpango wowote wa kugombea urais 2025, labda kama ana kundi analoliunga mkono. Nadhani rais hapo ameamua kwa makusudi kum-mispresent ili apate sympathy ya watu, hasa ukizingatia kwamba mtu mwenyewe alishaomba radhi hadharani!
Anyway, ngoja tuone huu upepo wa kusulisuli unakotupeleka.
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Maza akumbuke Marehemu Mzee Karume aliwajengea watu magorofa buree watu wale matunda ya uhuru ajabu gani Magufuli kuwapa wa Tananyika Umeme kwa unafuu!!!
 
ANAADIKA ASKOFU BAGONZA

MWISHO WA NGUVU, MWANZO WA HEKIMA

Mkuu wa nchi ameongea tayari. Tumeona sura mpya tofauti na ile tuliyoizoea. Ukimgeuza sana nyoka utaona miguu yake. Yanasemwa mengi na wengi. Mimi nina mawili:

1. Ni nafasi ya Mama kuanza upya. Mvutano wa mihimili unafaa kama ni wa vyama tofauti. Ni hekima kumpa nafasi Mama bila kusubiri kuombwa kupisha. Ni salama na heshima kupisha ukarejeshwa kuliko kuambiwa umpishe mgeni akae.

2. Mke wa Kaizari anapaswa kuishi nje na ng'ambo ya tuhuma ya uzinzi.Tuhuma zinatosha kuvunja ndoa yake. Wanaotuhumiwa na Mama kuota 2025 wampishe bila kusubiri mkeka. Akipenda atawarejesha mwenyewe. Hiyo ni busara, siyo nguvu.

Arobaini za swala zikifika, huwa hasikii baragumu ya wawindaji.
Shtuka bila kuchelewa.
 

Kabla Bunge halijafikia hatua ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae, atalivunja na kuitisha Uchaguzi mkuu!! Kumbuka yeye ndio Mwenyekiti wa ccm ambae atasimamia majina yatakayopitishwa kugombea kupitia chama hicho! Hata hivyo wabunge wangapi wako tayari kwenda kwenye uchaguzi wakati huu.
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£
 
I am enjoyingπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…