Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Hu
Walionacho ndio wenzake kwa taarifa yako. Ndio maana bei za bidhaa karibu zote zimekaa tangu akabidhiwe kijiti
Yeye ni Rais wa matajiri maana ndo waliomweka kwa Boma hiyo
 
Hakuna namna Ndungai atatoboa.

Let's wait and see maana baadhi husema "never say never "
 
Huu ndio ukweli mchungu sana!
 
The safest and better option kwake is to "walk away"

Period!
 
Ukiskia CCM mbele kwa mbele ndio hiyo sasa.

Hawa jamaa ni maguru kwenye "politics"
 
Katibu mkuu Daniel Chongolo recently alisema, wote hawa ni mbuzi tu ambao wamefungwa kamba na ndio maana wako salama. Tukiifungua tu kamba na kuwaachia wakajitafutie malisho yao wenyewe basi hutowaona kamwe.
 
Mkuu wangu 🤣🤣🤣

Yaani leo hii UNASIMAMIA KUIPITISHA BAJETI ambayo ndani yake ina mikopo ya wadau wa kimaendeleo halafu punde unaibagaza mikopo hiyo!!!! 🤣🤣🤣

#Siempre JMT
#Siempre Chief Hangaya 🙏
Hawa wagogo bhana hahaahahhahahah.

Yaani huyu Mzee sijui akili zake ziko wapi. Ndio maana yule Mpemba wa Njombe akaona amlipue tu.
 
Bunge lenyewe lilikubali kujidogosha lenyewe. Lilipokubali kuwa tawi la serekale hapo ndipo walijimsliza! Wapambane na hali yao!
 
Hii ni wazi kabisa kwa kauli ya Mheshimiwa Rais Samia Spika Ndugai alikuwa adui yake toka ashike madaraka inaamana Spika Ndugai hakupenda kuona huyu mama akiongoza nchi hii.
Ndugai must go kwani ni mtu hafai kabisa kuwa Spika kwa kushindwa kuheshimu katiba kwa mambo mengi pale bungeni.
 
Khaaa!!!!

Mwanachama yoyote?? Kwani unadhani anaruhusiwa yoyote tu kugombea?? Unadhani ni mambo ya sadakalawe haya??

Halafu unaongelea issue za kuwashawishi wabunge?? Wabunge wapi?? Kina Mwana FA na Babu Tale???
 
😄😄😄😄😄😄

Hawa Wapinzani ndio maana sio tatizo kubwa kwa chama. Wao ni kijitatizo tu kidogo. Ikifika 2024 wakapewa "katiba mpya" basi kura zote watampigia Mama huku wakiamini 2030 mama atawaachia. Wanasahau haraka hawa.

Leo eti wamesahau na wanajifanya hawaijui nguvu ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi.

Tuwaangalie tu hawa CDE wangu
 
Mkuu kuna mengi sana!

Mama anatumia busara sana za kiuongozi. Hata issue ya kufumua cabinet yote au kujazia ways wachache ulikuwa ni mjadala mkubwa sana pale mwanzo mwanzo kama unakumbuka.

Busara na ufundi wa kiutawala ulitumika sana pale. Mama akaona isiwe tabu acha niende nao maana walisema "keep your friends close, and your enemies closer"
 
P,

Hapa huyu alikuwa na maana gani. Naona hapa ni sawa na kujionyesha naye ni mshindani

" Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje ambao kazi yao kuwa kukopa endapo hiyo ndiyo namna ya ku run nchi"
 
Narudia tena

Tuielewe mitaa. Kwani unadhani aliomba radhi kwa kutaka??

Lile lilikuwa ni sharti na tego. Vijana wanajua siasa za fitna kinoma. Sio wale wakolomije.

Nyinyi mnamchukulia poa sana CDE Shaka Hamdu Shaka.

Sasa jamaa nkaomba radhi in public (which means kakiri makosa yake in public) na bado watu wakamlipua kama kawa.

Hakuna Mkubwa zaidi ya CCM as long as wewe ni mwanachama wa CCM basi utafuata taratibu za CCM
 
Hawa vijana hwaoni kama unavyoona wewe mkuu. Wabunge wenyewe ni David Silinde na Mwita waitara 😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…