dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
safi sana kijana, kapige pesa za wajinga, ndani ya mwaka una-push X6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie si ma zamwamwa.Mbona dini ya kiislamu haichezewi chezewi ?
Wenzetu mmewezaje na sisi tunakwama wapi?
Dar wajinga ni wengi kuliko vijijiniMbona hawaendi kuanzisha makanisa vijijini inamaana Dar ndio wanapenda sana kusali[emoji3]
Kweli Dar ni mji wa biashara.
Haaaa...Kumamao
Kwani ulienda wapi?Ujanjaujanja Umerudi Tena
Alu nimekuichia mkuu wangu 😀😀😀😀
Hii kitu yake kali aisee.
Sharia!Mbona dini ya kiislamu haichezewi chezewi ?
Wenzetu mmewezaje na sisi tunakwama wapi?