Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Mwili wa Bwana ni kama wa tembo kila mtu, anashika sehemu alipo! Wakushika mkonga, haya! Wa masikio, haya! Wa mkia, haya! Bora neno la wokovu lifikie wenye kuelemewa na mizigo.
 
mjini mipango
kulala njaa kupendaaa
na wajinga daima hawaishi mjiniiii
 
Wafilipi 1:18 Yadhuru nini? Lakini kwa njia zote, ikiwa ni kwa hila, au ikiwa ni kwa kweli, Kristo anahubiriwa; na kwa hiyo nafurahi, naam, nami nitafurahi.
 
Back
Top Bottom