Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Msema chochote pilipili injili yake inahusu tafsiri za ndoto zako mfano ukiota unakimbizwa na Zombi unaenda kumuona 😂!.
 
Ukristo umeingiliwa sana na sasa unabakwa hadharani mchana!
Yote tamaa ya pesa kwa utapeli, anyway, acha wawatapeli wajingajinga kwani wapo wengi sana.
 
Halafu huyu mpusi atasema alikua na mwito tangu zamani.
Wakati zamani tulikua nae Kigongo bar Buguruni tunasaka nginde na pombe za mafungu za Serengeti breweries.
 
Mlitaka wauze unga..? Waishie kuwa wasanii tu.. Acheni vijana walitangaze neno la Mungu. Shetani hapendi kuona vijana wakilisifu na kuhubiri jina la Yesu Kristo ndio maana wachawi wazandiki wanafki na waliopotoka na mambo ya kidunia wanawakebehi vijana wadogo ambao ni watumish wa Mungu...
Wakat mnaendelea kuwa judge kutokana na life style yao ya nyuma, Mungu anazidi kuwaimarisha na kuwapa nguvu ya kiroho na kiuchumi kueneza ukristo kupitia jina la Yesu...
 
Ukweli upi huo kuhusu ndoto zangu?
Hizi ninazoota au malengo yangu.
Haya tusimpuuze bwana ngoja nimsikilize ila akianza mchezo wa pesa halambi kitu hapa.
 
Mbona dini ya kiislamu haichezewi chezewi ?
Wenzetu mmewezaje na sisi tunakwama wapi?
unawajua bokho kharam,ar khaeda,alshabaab na wenzao wa kibiti??

huko ndio kuna michezo ya kuuana kabisa.
 
Mlitaka wauze unga..? Waishie kuwa wasanii tu.. Acheni vijana walitangaze neno la Mungu. Shetani hapendi kuona vijana wakilisifu na kuhubiri jina la Yesu Kristo ndio maana wachawi wazandiki wanafki na waliopotoka na mambo ya kidunia wanawakebehi vijana wadogo ambao ni watumish wa Mungu...
Wakat mnaendelea kuwa judge kutokana na life style yao ya nyuma, Mungu anazidi kuwaimarisha na kuwapa nguvu ya kiroho na kiuchumi kueneza ukristo kupitia jina la Yesu...
SAFI SANA UMEJIUNGA LEO LEO KUJA KUJENGA HOJA.
UPO VIZURI!
NENO LIHUBIRIWE!
 
unawajua bokho kharam,ar khaeda,alshabaab na wenzao wa kibiti??

huko ndio kuna michezo ya kuuana kabisa.
Kwani hao uliowataja wanahubili neno kama kina mwamposa, tb Joshua, nabii tito wa uongo na kina masanja mkandamizaji wa sadaka.
 
Naona lile hekalu la kakobe linawatoa udenda ndo mana nao wanapigana walipate
 
Back
Top Bottom