masumbuko dogo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 456
- 118
Hivi kweli tumefikia hatua hii kama Taifa.......mpk viongozi wetu wa dini nao wameingia kwenye huo mkumbo?
MUNGU ATUSAIDIE.
Dah,sasa ndo nimeamini kwa sasa hakuna wa kumzuia Luwasa pale Ccm,I was underestimating him
Hivi kweli tumefikia hatua hii kama Taifa.......mpk viongozi wetu wa dini nao wameingia kwenye huo mkumbo?
MUNGU ATUSAIDIE.
Hawa ni viongozi wa dhehebu moja dogo linaloongozwa na ndugu mmoja aitwaye GWAJIMA wa 'kanisa' la ufufuo na uzima. Ni yule anayetukana wakubwa wake hovyohovyo. Alimtukana CAG Prof Assad na hivi karibuni kamtukana Cardinal Polycarp Pengo. Haiwezekani akusanye wachungaji wote wa dhehebu lake wafike Dodoma kwa pamoja wakiwa na mabango. Ninahisi atakuwa na makubaliano fulani na Team EL. Hili zoezi la kwenda kwao Dodoma halina baraka za TEC, CCT, Pentecost Council, wala baraka za makanisa ya kisabato.Ni wachungaji wa makanisa yapi hao wanaoganga njaa? Maaskofu, mapadre na wachungaji wa makanisa yenye mfumo wa uongozi unaoeleweka na wasio na tamaa ya fedha hawawezi kuingia ktk mchezo wa kuigiza.
tumia akili we pi.mbiWe umelewa gongo sasa kwani kuwa organised ni kosa inshu ni utashi kama watu wanakwenda hija kwa Mungu wanakua organised sembuse kwa ngoyai chupi zitawabana mwaka huu