Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lowassa mbele kwa mbele kudadadeki eti january makamba loooooh kweli nchi inaelekea kulaanika bring back our bundles
sioni wa kumzuia edo kuwa mgombea kwa ticket ya chama chake!... January, sumaye, sitta, membe et al wajipime kisha wapite kuhesabiwa... Nyota ya lowassa inang'aa...
Wachungaji pumbav kabisa enzi za Mwalimu hakuruhusu ujinga kama huu yaani hawa wajinga wanamshangilia Fisadi papa mtu asie na maadili mtu aliekataliwa na Mwalimu kwa tuhuma alizoshindwa kutolea majibu leo hii wajinga wanakurupuka watokakako na kumshangilia
Lowassa Aachwe mlisema hakubaliki sasa nchi inawaumbua mnaanza kujamba tulieni January kichwani mweupe eti awe Rais yani huruma Za Jakaya kukubeba na weupe wako unajiona obama,waalimu asilimia karibu 74 tumeamua Lowassa nyuma haturudi
Hii moviev imetengenezwa vibaya bhana au kwa sababu bunge linakwisha ijumaa,kwa hiyo lazima wote waje wiki hii,nataka kujua na kuuliza pia kesho zamu ya waganga wa jadi? wakiongozw
a na kingunge ngombale mwilu.
January....hana kitu kichwani..hata nywele hana..
Form 4.....Expelled from NECTA...kaiba paper..
then akafanya QT...!!
Form 6....Forest Hill....Div.."0"...aje ajibu hapa kama nasema uongo...!!!
Funny enough anajifanya anakusanya vitabu dunia nzima ktk Library yake...just like movie store...a purely comedian...!!!
So don't even quote him...nothing he has done tokea awe Naibu waziri...hata ktk Escrow au Bunge la katiba hakuna kitu anaweza sema au fanya...useless...!!!
zile pesa zilikuwa za umma au mafisadi tuanzie apo ndiyo tumuite lowasa fisadi!!!Pesa za ufisadi zinafanya kazi. Waache waigize tu. Rais wa Tanzania hapatikani kwa njia za maigizo