Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

Watu hawajua kwamba ,hapa duniani hakuna mtu atakayekupa furaha isipokuwa wewe mwenyewe. Unaishi kwa mateso kwa sababu sababu ya kiumbe ambaye ameamua kwa maksudi kukusaliti.
Kazi kwelikweli.
Inashangaza sana...nakumbuka Mimi jamii ilinishangaa sana kukimbia my brutal marriage lakini sikuangaika nao ...nilitazama wanangu na mama angu,nikaelewa hawa hawatokuwa salama Mimi nikifa
 
Namshangaa. Ngoja afe kwa stress. Watakaoumia ni watoto wake ,wazazi na ndugu zake. Hao wengine siku unazikwa baada ya wiki wanakusahau, na huyo mume anavuta kifaa kingine chap.
Hivyo yaan,Kuna dada mmoja alikuwa kwenye ndoa miaka 8 ya uvumilivu na sababu ilikuwa ni kukosa mtoto... mwisho wa siku mume akachoka kuongea kwa mdomo akaamua kuhamia nje mazima...yule dada stress wiki moja tu tukazika
 
Inashangaza sana...nakumbuka Mimi jamii ilinishangaa sana kukimbia my brutal marriage lakini sikuangaika nao ...nilitazama wanangu na mama angu,nikaelewa hawa hawatokuwa salama Mimi nikifa
Tatizo tunategemea watu wengine watupe furaha. Mume au mke sio ndugu yako. Ukifa leo,unafutika kwenye kumbukumbu zao.
 
Hivyo yaan,Kuna dada mmoja alikuwa kwenye ndoa miaka 8 ya uvumilivu na sababu ilikuwa ni kukosa mtoto... mwisho wa siku mume akachoka kuongea kwa mdomo akaamua kuhamia nje mazima...yule dada stress wiki moja tu tukazika
Kuna rafiki yetu amekuwa chiz kabisa sababu ya stress za ndoa. Alifikia hatua ya kufungwa kamba . Alilizwa Muhimbili na sasa hivi anatumia dawa.
Kazi kwelikweli
 
Hawa watoto wa siku hizi wanasema, hainaga ushemeji tunakulaga
 
Kuna rafiki yetu amekuwa chiz kabisa sababu ya stress za ndoa. Alifikia hatua ya kufungwa kamba . Alilizwa Muhimbili na sasa hivi anatumia dawa.
Kazi kwelikweli
Hapana,hatustahili kufikia hapo kiukweli
 
Ukipata wasaa sikiliza ujumbe huu toka kwa mtumishi wa Mungu...Imani ya kuachilia machungu moyoni. Natumai itakusaidia.

View: https://www.youtube.com/live/rQbJSVBR5Lc?si=Z4ghqDwQFHSetYNq
 
SAmehe 7 mara 70
 
Mkuu Bi dentamol
Kwanza pole sana kwa maumivu na changamoto ulizozipitia kwenye ndoa yako.
Ninachokuomba jipe muda, na muda huponya majeraha (Time heals wound). Hakuna binadamu asiyekosea tena ni bora wewe umejua nini kilikuwa chanzo cha hayo yote, na Mumeo kakuomba msamaha, msamehe tu na maisha acha yaendelee.
Ushauri mwingi uliopewa humu ni wa kitoto sana ama ni wale wa watu wanaotamani ndoa na hawaipati kwa hiyo wametoa ushauri tu ili mradi.

Nakushauri samehe, jipe muda, zungumza na mumeo kwa kirefu natumaini hilo fukuto lililo kukaa rohoni litaisha na utakuwa na furaha tena.

Ni mtihani huo na tayari umeshaufaulu, usithubutu kuachana na Mumeo hizi ndoa zina mambo ya ajabu sana tena bora wewe umeshitukia na tayari mambo mmeshayazungumza.
 
Ondoka hapo utakuja kutuulia mlipa kodi wetu tukose kodi.
 
Your mind is everything to recover your everything.

Kisaikolojia kuna kitu ushatengeneza akilini mwako hata kama utamsamehe lakini ile deep trust It's erased.

Kusamehe hua haiondoi maumivu labda upoteze kumbukumbu.

Before sijakushauri, naomba nijue wewe mpaka sahivi wazo lipi limechukua asilimia kubwa akilini mwako kati ya "Unamsamehe" na "Humsamehi"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…