GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Atawaambia Wachezaji wake anaowamudu kuwa Wampambanie kwa kumpa Ushindi Mechi zote zilizobaki ili aaminiwe na asitemwe kabisa Simba SC.
2. Atawapanga zaidi Wachezaji Washkaji (Marafiki) zake hasa akina Wawa na Nyoni ambao ndiyo huwa wanampa mno Hela na kumletea (wakimpa) Mizawadi mingi kama wakisafiri nje ya nchi.
3. Kuanzia sasa Wachezaji wa Simba SC watacheza Mpira mkubwa katika Mechi zilizobakia ambao hata hamkuwahi Kuuona pale Timu ilipohitaji Ushindi Muhimu katika Mechi za Ligi Kuu ya NBC na Kombe la ASFC ili Kumshawishi Kocha Matola asiwajumuishe katika Ripoti yake ya Wachezaji wanaotakiwa Kuachwa baada ya Msimu Kumalizika
4. Kama kawaida yake Matola atawaoanga wale tu ambao ama huwa wanampa Hela (10% za Posho zao) au wale ambao watamhakikishi Kumnunulia Bia kitu ambacho anakipenda zaidi na Kuvuta Sigara.
5. Kwakuwa analindwa pia na baadhi ya Viongozi (hasa kutoka katika Bodi ya Simba SC) watamsaidia kwa kuhakikisha Wanazihnga Timu zote watakazocheza nazo ili Kuwashawishi Viongozi Wenzao kuwa anaweza na abaki Klabuni ili Simba SC ikiajiri tena Kocha mpya waendelee Kumtumia kwa Kuihujumu Timu kama alivyoihujumu kwa Msimu huu.
6. Wachezaji wa Kigeni hatokuwa akiwapanga kwakuwa Kwanza Kiingereza na Kifaransa kinampiga Chenga (hakijui) na pia Wachezaji wa Kigeni wanajiamini, wanajitambua na hawaabudu 'Uswahili' alionao na aliouzoea.
7. Atashauri sana Timu iwe 'inaroga' kwakuwa ndiyo eneo lake Kuu la Ubobezi tokea akiwa ni Mchezaji wa Simba SC na Nahodha na 'ametukuka' nalo kisawasawa ili Timu ishinde mabao mengi na ya ajabu ajabu na aweze kupata sana Sifa ili atengeneze Uchawi wa Kubakishwa hata kama Simba SC watamleta Kocha Mpya.