Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Kirusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetea hoja yako acha ufala mshamba wewe!Umekumbuka kunywa Kidonge chako cha tatizo lako la 'Uwendawazimu' leo?
Kwani team ukiendaga. Nje yeye huwa haendi?1. Atawaambia Wachezaji wake anaowamudu kuwa Wampambanie kwa kumpa Ushindi Mechi zote zilizobaki ili aaminiwe na asitemwe kabisa Simba SC.
2. Atawapanga zaidi Wachezaji Washkaji (Marafiki) zake hasa akina Wawa na Nyoni ambao ndiyo huwa wanampa mno Hela na kumletea (wakimpa) Mizawadi mingi kama wakisafiri nje ya nchi.
3. Kuanzia sasa Wachezaji wa Simba SC watacheza Mpira mkubwa katika Mechi zilizobakia ambao hata hamkuwahi Kuuona pale Timu ilipohitaji Ushindi Muhimu katika Mechi za Ligi Kuu ya NBC na Kombe la ASFC ili Kumshawishi Kocha Matola asiwajumuishe katika Ripoti yake ya Wachezaji wanaotakiwa Kuachwa baada ya Msimu Kumalizika
4. Kama kawaida yake Matola atawaoanga wale tu ambao ama huwa wanampa Hela (10% za Posho zao) au wale ambao watamhakikishi Kumnunulia Bia kitu ambacho anakipenda zaidi na Kuvuta Sigara.
5. Kwakuwa analindwa pia na baadhi ya Viongozi (hasa kutoka katika Bodi ya Simba SC) watamsaidia kwa kuhakikisha Wanazihnga Timu zote watakazocheza nazo ili Kuwashawishi Viongozi Wenzao kuwa anaweza na abaki Klabuni ili Simba SC ikiajiri tena Kocha mpya waendelee Kumtumia kwa Kuihujumu Timu kama alivyoihujumu kwa Msimu huu.
6. Wachezaji wa Kigeni hatokuwa akiwapanga kwakuwa Kwanza Kiingereza na Kifaransa kinampiga Chenga (hakijui) na pia Wachezaji wa Kigeni wanajiamini, wanajitambua na hawaabudu 'Uswahili' alionao na aliouzoea.
7. Atashauri sana Timu iwe 'inaroga' kwakuwa ndiyo eneo lake Kuu la Ubobezi tokea akiwa ni Mchezaji wa Simba SC na Nahodha na 'ametukuka' nalo kisawasawa ili Timu ishinde mabao mengi na ya ajabu ajabu na aweze kupata sana Sifa ili atengeneze Uchawi wa Kubakishwa hata kama Simba SC watamleta Kocha Mpya.
Muongo na anayejifanya mjuaji wa kila kitu, huwa hana kumbukumbu!Kombe la ASAF lipi tena si mlikalia kimoko kirumba
Hii miaka yote 4 ambayo Simba ilikuwa inashinda mataji ya ligi na shirikisho je ni wewe ulikuwa unasaidia au ni vipi?Mwisho wa msimu Matola nae aondoke Simba, au apewe timu ya watoto akaifundishe, miaka yote aliyokaa Simba imethibitika hana msaada wowote kwa timu ya wakubwa, wamekuja makocha wengi wameondoka sioni chochote alichojifunza.
Duu! Pamoja na kuwa sijafurahia mafanikio kiduchu ya Simba kwa mwaka huu, lakini sikubaliani na chuki za namna hii!
Umeonyesha chuki mpaka unachanganya ststements, Hapa unasema atampanga Wawa, hapa unasema hatawapanga wachezaji wa kigeni!
Hapa unasema watanunua mechi , hapa unasema atatumia uchawi kuroga washinde mechi! Kama ni mtaalam wa ushirikina kuna kuna haja gani ya kuhonga si anatumia tu ushirikina kila kitu kinamnyokea? Sasa unataka mechi zote zilizosalia nazo wapoteze zote au ni vipi na ili iweje???
Katika michezo ni lazima tukubali kuwa kuna kushinda na kushindwa, na asiyekubali kushindwa si mshindani! Si rahisi ukawa mshindi miaka yooote, hapana! Hata majuzi si tumeona Al Ahly wamevuliwa ubingwa wa Afrika na Wydad? Iko wapi Man United iliyozoea kutwaa kombe la EPL kila msimu kama la kwao?
Da Kija ana matusi sana huyuDada yangu matusi ya nini tena?
Sema ndio hivyo wajawazito baadhi huwa na kisirani bila sababuDa Kija ana matusi sana huyu
Utaonaje alicho kufunza wakati ni msaidizi ?Mwisho wa msimu Matola nae aondoke Simba, au apewe timu ya watoto akaifundishe, miaka yote aliyokaa Simba imethibitika hana msaada wowote kwa timu ya wakubwa, wamekuja makocha wengi wameondoka sioni chochote alichojifunza.
Huyu jamaa hajui mpira yeye ana fahamu tunguli tu.Eti wanamleteaga zawadi wakitoka huko nje.....maana hapo kwanza ncheke!!! kwahiyo wachezaji wakienda nje ye hua anabaki kuwafulia jezi, au...
Safi sana, huyu ndiye anafaa kuwa Kocha Mkuu wa Simba na sio wale wengine!Leo Simba chini ya Matola imempiga mtu tatu bila
Haha haaaaaaa.....umejitahidi hasa namba 7.1. Atawaambia Wachezaji wake anaowamudu kuwa Wampambanie kwa kumpa Ushindi Mechi zote zilizobaki ili aaminiwe na asitemwe kabisa Simba SC.
2. Atawapanga zaidi Wachezaji Washkaji (Marafiki) zake hasa akina Wawa na Nyoni ambao ndiyo huwa wanampa mno Hela na kumletea (wakimpa) Mizawadi mingi kama wakisafiri nje ya nchi.
3. Kuanzia sasa Wachezaji wa Simba SC watacheza Mpira mkubwa katika Mechi zilizobakia ambao hata hamkuwahi Kuuona pale Timu ilipohitaji Ushindi Muhimu katika Mechi za Ligi Kuu ya NBC na Kombe la ASFC ili Kumshawishi Kocha Matola asiwajumuishe katika Ripoti yake ya Wachezaji wanaotakiwa Kuachwa baada ya Msimu Kumalizika
4. Kama kawaida yake Matola atawaoanga wale tu ambao ama huwa wanampa Hela (10% za Posho zao) au wale ambao watamhakikishi Kumnunulia Bia kitu ambacho anakipenda zaidi na Kuvuta Sigara.
5. Kwakuwa analindwa pia na baadhi ya Viongozi (hasa kutoka katika Bodi ya Simba SC) watamsaidia kwa kuhakikisha Wanazihnga Timu zote watakazocheza nazo ili Kuwashawishi Viongozi Wenzao kuwa anaweza na abaki Klabuni ili Simba SC ikiajiri tena Kocha mpya waendelee Kumtumia kwa Kuihujumu Timu kama alivyoihujumu kwa Msimu huu.
6. Wachezaji wa Kigeni hatokuwa akiwapanga kwakuwa Kwanza Kiingereza na Kifaransa kinampiga Chenga (hakijui) na pia Wachezaji wa Kigeni wanajiamini, wanajitambua na hawaabudu 'Uswahili' alionao na aliouzoea.
7. Atashauri sana Timu iwe 'inaroga' kwakuwa ndiyo eneo lake Kuu la Ubobezi tokea akiwa ni Mchezaji wa Simba SC na Nahodha na 'ametukuka' nalo kisawasawa ili Timu ishinde mabao mengi na ya ajabu ajabu na aweze kupata sana Sifa ili atengeneze Uchawi wa Kubakishwa hata kama Simba SC watamleta Kocha Mpya.
Sijawahi Kukosea katika 'Analysis' na 'Jicho' langu kwa Mtu au Timu na yawezekana Wewe ni 'Mgeni' sana nami hapa JF..Haha haaaaaaa.....umejitahidi hasa namba 7.