Baada ya Matola kupewa Timu kama 'Caretaker' hiki ndicho kinaenda kutokea ambacho hakikutokea Timu ilipohitaji Ushindi Muhimu

Namba 1 na namba 4 zinapingana kimantiki.
Pia katinya namba 2 na namba 6 moja ni uongo hasa ukichukulia Wawa ni mchezaji wa kugeni.
 
Mwisho wa msimu Matola nae aondoke Simba, au apewe timu ya watoto akaifundishe, miaka yote aliyokaa Simba imethibitika hana msaada wowote kwa timu ya wakubwa, wamekuja makocha wengi wameondoka sioni chochote alichojifunza.
Hana chochote wewe ndo unamlipa? Na umeprove vipi hana chochote?
 
Matola si ni Muha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
namba 7 huo shauri uliuleta wewe humu baada ya kuona umeleta negative result unamtupia matola mzigo
kiande wewe
 
Hii ya matola sawa mgunda coastal union tanga
 
Namba 1 na namba 4 zinapingana kimantiki.
Pia katinya namba 2 na namba 6 moja ni uongo hasa ukichukulia Wawa ni mchezaji wa kugeni.
Wewe huna unachokijua na ukiona nimeleta hapa Habari ya Simba SC kaa kimya, Habarika nayo kisha utajua kuwa Mimi siyo Size yako hasa katika Mipira ya Kibongo ( Kitanzania ) sawa?
 
Sasa kama atafanya yote hayo ili timu ishinde kuna ubaya gani? Au mwenzetu hufurahii timu kushinda na furaha yako ni kuona tu Matola(Legend) anatimuliwa klabuni ?
 
Wanasimba jihadharini sana na watu sample ya GENTAMYCINE maana wana malengo ya kuichafua Simba na kuleta mivurugano tuu.
Simba kulikosa kombe la Azam au kufungwa goli moja na Yanga sio kipimo cha timu kufanya vibaya.
Kwanza kiukweli Simba ndio club iliyofanya vizuri hapa nchini kwa mwaka 2021/22 zaidi ya club nyingine zote kwani imecheza robo fainali ya michuano ya CAF wakati wengine walipigwa NJE NDANI hatua za awali.
 
Hivi kwa mwaka 2021 / 2022 Malengo ya Simba SC yalikuwa ni kufika Robo Fainali CAF CC na CAF CL?

Hivi siyo Viongozi wa Simba SC hasa kupitia hiko Kidada 'Kifidodido' Madame CEO Barbara Gonzalez walisema kuwa kwa Msimu huu hatuachi Kitu wakimaanisha Timu itabeba Vikombe vyote?

Nakuomba niulizie kwa Mume wako Tajiri na Rais wa Heshima Simba SC kuwa hivi ile 20 Billion kaiweka wapi halafu 'Signatories' ni akina nani?
 
Hizi ndio akili za kina Aunt farouk na wenzake! Kila timu inayoingia mashindanoni ni kutwaa ubingwa, ikishindwa sio kwamba imeporomoka bali haikufanikiwa malengo yake.
Simba imefika hatua ya robo fainali ya CAF CC, ambako ni timu 8 tuu barani Afrika zimeingia utaita hiyo hatua ndogo? Kupoteza kombe la Azam unashangaa kwani hiyo ni mali yake?
Na bado kwenye ligi ya NBC iko nafasi ya pili baada ya kukaa na taji hilo miaka minne mfululizo bado unabwabwaja kuwa Simba imetetereka?
Tatizo mitandaoni wanaingia hata watu ambao madish yameyumba kama ulivyo wewe kisha wanajiona werevu kumbe [emoji706][emoji706] kabisa.
Kuna wakati watu walikuita chizi humu mie nikabisha na kusema hawajakuelewa tuu, lakini sasa nimejua mimi ndio sikuwa nimekuelewa. Ukisoma kwa utulivu ulichoandika hapa hata wewe waweza jitambua kuwa ni chizi
 
Wewe huna unachokijua na ukiona nimeleta hapa Habari ya Simba SC kaa kimya, Habarika nayo kisha utajua kuwa Mimi siyo Size yako hasa katika Mipira ya Kibongo ( Kitanzania ) sawa?
Itabidi uwe kocha wa timu yetu !
 
🤔🤔
 
Umekumbuka kunywa Kidonge chako cha tatizo lako la 'Uwendawazimu' leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…