Baada ya Matola kupewa Timu kama 'Caretaker' hiki ndicho kinaenda kutokea ambacho hakikutokea Timu ilipohitaji Ushindi Muhimu

Umekumbuka kunywa Kidonge chako cha tatizo lako la 'Uwendawazimu' leo?
Tetea hoja yako acha ufala mshamba wewe!
Umeleta hoja na inakuwa challenged badala ya kuitetea unaandika utopolo wako!
Hizi ndio unaita akili?
 
Kwani team ukiendaga. Nje yeye huwa haendi?
 
Duu! Pamoja na kuwa sijafurahia mafanikio kiduchu ya Simba kwa mwaka huu, lakini sikubaliani na chuki za namna hii!
Umeonyesha chuki mpaka unachanganya ststements, Hapa unasema atampanga Wawa, hapa unasema hatawapanga wachezaji wa kigeni!
Hapa unasema watanunua mechi , hapa unasema atatumia uchawi kuroga washinde mechi! Kama ni mtaalam wa ushirikina kuna kuna haja gani ya kuhonga si anatumia tu ushirikina kila kitu kinamnyokea? Sasa unataka mechi zote zilizosalia nazo wapoteze zote au ni vipi na ili iweje???
Katika michezo ni lazima tukubali kuwa kuna kushinda na kushindwa, na asiyekubali kushindwa si mshindani! Si rahisi ukawa mshindi miaka yooote, hapana! Hata majuzi si tumeona Al Ahly wamevuliwa ubingwa wa Afrika na Wydad? Iko wapi Man United iliyozoea kutwaa kombe la EPL kila msimu kama la kwao?
 
Mwisho wa msimu Matola nae aondoke Simba, au apewe timu ya watoto akaifundishe, miaka yote aliyokaa Simba imethibitika hana msaada wowote kwa timu ya wakubwa, wamekuja makocha wengi wameondoka sioni chochote alichojifunza.
Hii miaka yote 4 ambayo Simba ilikuwa inashinda mataji ya ligi na shirikisho je ni wewe ulikuwa unasaidia au ni vipi?
 

Nakuhakikishia Unaweza Kutolewa wewe Ushabiki wa Thimba Kuliko Jamaa Kuondolewa…
Tena Unawwza Kuondolewa ukiwa hapa hapa JF…[emoji851][emoji30][emoji14]Chezea Jamaa nini,Bodi iko nae mguu kwa mguu,Na Zindikoo tiyari…
Hiyi hatoki,Ni Bora wnachama wooooote na Mashabiki waondoke ila yeye abaki na Thimba[emoji851]
 
Hamis Kigwangalah umekuja na mpya aisee! [emoji23][emoji23]
 
Mwisho wa msimu Matola nae aondoke Simba, au apewe timu ya watoto akaifundishe, miaka yote aliyokaa Simba imethibitika hana msaada wowote kwa timu ya wakubwa, wamekuja makocha wengi wameondoka sioni chochote alichojifunza.
Utaonaje alicho kufunza wakati ni msaidizi ?
Matola kama ana hujumu Simba, je ameanza msimu huu tu au misimu yote ambayo amekuwa ndani ya klabu?
Wakati Simba ana fanya vizuri alikuwa ana Matola alikuwa wapi...?
 
Eti wanamleteaga zawadi wakitoka huko nje.....maana hapo kwanza ncheke!!! kwahiyo wachezaji wakienda nje ye hua anabaki kuwafulia jezi, au...
Huyu jamaa hajui mpira yeye ana fahamu tunguli tu.
Yani ana andika upupu mtu....!!!
 
Leo Simba chini ya Matola imempiga mtu tatu bila
 
Haha haaaaaaa.....umejitahidi hasa namba 7.
 
Tunamkata Matola apewe timu awe kocha Mkuu,kambadilisha Sacko mpaka jana kafunga magoli mawili,brace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…