Baada ya Matukio ya CCM ya Samia Kupindua meza za political trajectories huko Dodoma wengine Yunafunga kamdomo ka Siasa

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu,

We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for 2025-2030.

Ukitaka kulia sawa ukicheka sawa ila ndio basi tena chawa ni genius sana wako mbele ya muda.

Ni hayo tu ya Mungu mengi

Pang Fung Mi

Pasi ndefu
 
Kawanyoosha ,akili kichwani pesa mkononi 😁😁
 
Back
Top Bottom