Pre GE2025 Baada ya Mbowe kukacha mdahalo, Lissu asema ingependeza kama mdahalo ungewahusisha wote watatu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
"Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa kidemokrasia katika nchi yetu na chama chetu. Ingependeza sana kama tungekuwa wote watatu, but haya ni mambo mapya kwetu na yana hofu zake...!" - Tundu Lissu


Soma pia: MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Siyo Saturday 17 Jan. Unless walimaanisha Saturday 18 Jan ambayo ni Kesho. Leo ni Friday 17 January.
 
Mpaka sasa mchuano wa ukweli wa uenyekiti ni kati ya Lissu na Odero 😂😂😂.
 
Mbowe anajifanya Kama CCM nyie fanyeni kampeni na mambo mengine kura napata Mimi Mbowe amelala back bencha kimya anawaangalia vijana wake
😅😅😅😅
Hawana mashakaa kabisaa..
 
Mdahalo wa kugombea uenyekiti au uongozi wa chama haufai.
 
Anachelea asijeishia kama "sleepy joe" alivyonyanyaswa na mhuni Trump akaamua kuachia kugombea urais kabisa.
 
Mbowe ameanza kupata akili, bado kujiengua tu au kusubiri liwaloo na liwe
 
Madikteta huwa wanaogopa sana media. Mbowe amedhihirisha hilo
 
Mbowe anakimbia mdahalo kwa nini? Odero ni msindikizaji tu mdahalo hautanoga bila mbowe. Hata hivyo lissu aende tu kumburuza odero, who know? Huenda mbowe aka step down aache muziki uchezwe na wawili hao
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…