Pre GE2025 Baada ya Mbowe kukacha mdahalo, Lissu asema ingependeza kama mdahalo ungewahusisha wote watatu

Pre GE2025 Baada ya Mbowe kukacha mdahalo, Lissu asema ingependeza kama mdahalo ungewahusisha wote watatu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe anakimbia mdahalo kwa nini? Odero ni msindikizaji tu mdahalo hautanoga bila mbowe. Hata hivyo lissu aende tu kumburuza odero, who know? Huenda mbowe aka step down aache muziki uchezwe na wawili hao
Odero katumwa tu huyo, Odero Hana ubavu wa kupambana na Lisu
 
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine kaiba pesa zote za chama kisha kuzitakatisha kupitia madeni Hewa kupiga cha juu kwenye kukodi chopa ya angani , Mbowe ana hofu Lisu akiwa mwenyekiti atamfunga jela kwa ufisadi pesa za chama , na Rushwa ya ngono anayowafanyia viti maalum, sasa kaunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Boniface, sugu, wenje na Wilium mungai kwa ajili ya kufanya uchakachuaji kuiba kura kupora ushindi wa Lisu, wanakula pesa zote za mbowe alizoiba chadema kwa pamoja wakiamini watamdhoofisha Lisu
 
Mbowe ataununua uenyekiti kwa gharama kubwa sana pesa zote alizoiba chadema sasa zinaliwa na Wajumbe kiulaini, malipo ni hapa hapa Duniani, Mbowe alijifanya mchoyo akawa anakula pesa ya chama peke yake sasa kapatikana pesa zote zinamezwa na chawa na kamati za ufundi alizounda
 
Chawa wa mbowe wanamshukuru Lisu kwa kumpiga Mbowe pressure kubwa ambayo imepelekea wao kupata pesa toka kwa mbowe akiwaomba wamtetee mitandaoni nk
 
Ni aibu sana Mbowe kukimbia mdahalo, haya mambo ya kukimbia tumezoea kuyaona kwa CCM mzee anaogopa spana
 
Sera za mbowe ni Rushwa ya ngono kwa viti maalum na kuiba pesa za chadema kula peke yake ingawa sasa anagawana na zile kamati zake za Roho mbaya alizounda mahususi kwa ajili ya kumhujumu na kumdhoofisha Lisu
 
Lucas Mwashambwa mgombea wenu kakimbia mdahalo na hiyo ni desturi ya CCM.

Sasa unakuwaje mwamba halafu debate hutokei?

Lissu is draining the swamp.
 
Mimi ningekuwa Lissu nisingekimbia, ila ningekua Mbowe halafu naambiwa nika debate na Lissu, siyo tu ningekimbia, bali ningetoa baru
 
"Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa kidemokrasia katika nchi yetu na chama chetu. Ingependeza sana kama tungekuwa wote watatu, but haya ni mambo mapya kwetu na yana hofu zake...!" - Tundu LissuView attachment 3204342
View attachment 3204343

Soma pia: MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki
Mbowe yuko sahihi kwenye hili. Hamna kitu kipya kitakachopatikana katika huo mdahalo isipokuwa kuzidisha mpasuko katika chama. Hawa watu kila siku wanajibishana kupitia interviews na press conference kiasi cha kuchosha watu wengine maana imejaa mipasho. Kama kuna mtu ambae hadi leo anangojea mdahalo ndio afanye uamuzi atakuwa hayuko serious. Watumie muda huu kujijenga na wapiga kura wao ili mtu anaestahili ndio achaguliwe. Katibu Mkuu apige marufuku interviews na press conferences mpaka siku ya uchaguzi. Kinachoendelea sasa hivi hakina tija kwa chama chao isipokuwa kinawapa faida washindani wao.

Amandla...
 
"Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa kidemokrasia katika nchi yetu na chama chetu. Ingependeza sana kama tungekuwa wote watatu, but haya ni mambo mapya kwetu na yana hofu zake...!" - Tundu LissuView attachment 3204342
View attachment 3204343

Soma pia: MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki
mdahalo na vichaa? asante Mbowe kwa kudharau ujinga huu
 
Back
Top Bottom