Odero katumwa tu huyo, Odero Hana ubavu wa kupambana na LisuMbowe anakimbia mdahalo kwa nini? Odero ni msindikizaji tu mdahalo hautanoga bila mbowe. Hata hivyo lissu aende tu kumburuza odero, who know? Huenda mbowe aka step down aache muziki uchezwe na wawili hao
RetiredChawa wa mbowe wanamshukuru Lisu kwa kumpiga Mbowe pressure kubwa ambayo imepelekea wao kupata pesa toka kwa mbowe akiwaomba wamtetee mitandaoni nk
Mwenyekiti Mbowe ameshauza sera zake kwa wajumbeMessage sent
Wajumbe wamekula pesa za mbowe lakini hawamtaki kabsaMwenyekiti Mbowe ameshauza sera zake kwa wajumbe
Wanaficha nini ambacho wanahofia kitavunja chama?Mdahalo wa kugombea uenyekiti au uongozi wa chama haufai.
Mbowe yuko sahihi kwenye hili. Hamna kitu kipya kitakachopatikana katika huo mdahalo isipokuwa kuzidisha mpasuko katika chama. Hawa watu kila siku wanajibishana kupitia interviews na press conference kiasi cha kuchosha watu wengine maana imejaa mipasho. Kama kuna mtu ambae hadi leo anangojea mdahalo ndio afanye uamuzi atakuwa hayuko serious. Watumie muda huu kujijenga na wapiga kura wao ili mtu anaestahili ndio achaguliwe. Katibu Mkuu apige marufuku interviews na press conferences mpaka siku ya uchaguzi. Kinachoendelea sasa hivi hakina tija kwa chama chao isipokuwa kinawapa faida washindani wao."Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa kidemokrasia katika nchi yetu na chama chetu. Ingependeza sana kama tungekuwa wote watatu, but haya ni mambo mapya kwetu na yana hofu zake...!" - Tundu LissuView attachment 3204342
View attachment 3204343
Soma pia: MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki
mdahalo na vichaa? asante Mbowe kwa kudharau ujinga huu"Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa kidemokrasia katika nchi yetu na chama chetu. Ingependeza sana kama tungekuwa wote watatu, but haya ni mambo mapya kwetu na yana hofu zake...!" - Tundu LissuView attachment 3204342
View attachment 3204343
Soma pia: MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki