Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usimtishe Lisu wache tufike kwenye box hakuna kujitoa
Sio namtisha Lissu, baada ya Mbowe kutangaza anagombea, kwa jinsi hawa jamaa walivyo manyumbu, unadhani kuna uchaguzi tena?. Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema ndio umemalizika leo!, kinachofuata ni kukamilisha tuu taratibu ili kuonyeshea tuu, kuwa Chadema wanafanyaga uchaguzi wa Mwenyekiti!.
P
 
Katika uchaguzi kuna kushida na kushindwa. Lissu akishinda atafurahi, akishindwa atakubali na asubiri wakati mwingine. Hiyo ndiyo demokrasia.
 
Naomba kuliza chadema ni chama cha siasa au saccoss ya ayatollah mboww?
 
Naomba uniamini, mimi situmwi na mtu!, najituma mwenyewe.
P
Mayalla ,nakuita mala ya pili ,mkuu Mayala ,kwa level yako sio wa kutoa maoni mepesi namna hii , nimekushangaa sana mkuu, kwamba hujui maana ya uchaguzi ni kushindana katika sanduku la kura mkuu, Lissu kavuliwa nguo wapi ,na shida nini mpaka mda huu mpaka uyaseme haya,

Kwenye uchaguzi bila figisu, wazi na wa haki Mbowe anapigwa saa mbili hasubui mapema
 
Alipata kura 1 tu huyu, 3 hakufika kabisa....
Shukrani , mkuu kwa kunipa up to date nzuri , kama ndivyo mbona sie hatukunyanyua mdomo sema amevuliwa nguo? kumbe uchaguzi anaujua kwamba kuna kushinda na kushindwa , sasa aya ya kukandia upande wa pili anayatoa wapi? Uyu ndugu yangu tena mwanasheria kabisa .

Note
Mwanasheria msomi ndugu Mayala , tunataka sasa ,kura zipigwe mbele ya wajumbe ,na hesabu ya kura ifanyike mbele ya wajumbe moja baada ya moja.

Pili kwenye ukumbi wa kupigia kura hatutaki asie husika ingia ndani ,ni wanahabari, wasimamizi wa uchaguzi , na wageni waalikwa meza kuu tu , hata hao waalikwa movement zao zitakuwa monitored , acha sanduku la kura litoe maamuzi, mtashangaa
 
Pamoja na kuambiwa kwamba kumwelewa Paschal Mahala ni lazima utumie akili, ila jamaa nimemfuatilia na kugundua jamaa (P) ni mweupe kichwani kama wengine au kama siyo basi ni Chawa anayetumika na upande uleee.

Alipodhurumiwa Ali Kibao na wale wasiojulikana ndo nilikuja kuiona rangi halisi ya Paskali. Hakuonyesha kuumia na kwa uandishi wake huo tunaoambiwa ni wa 'akili kubwa' alionekana yuko upande wa dhulumati.
 
Haya mambo, Kwa upande wangu, ni magumu sana. Tatizo la rushwa ndani ya chama ni vigumu kulitatua through media. Labda inawezekana, sijui! Mbowe alitaja kitu kinachoitwa 'teamwork'. Katika context alivyoiweka (kama ni kweli) kupata ufumbuzi wa pamoja ni vigumu. Kwa upande mwingine, ni rahisi sana sisi watu wa nje kuwa na upande na kukataa kuona au kusikiliza upande mwingine unasema nini. Mfano, kuna watu walitaka sana Mbowe asigombee, amwachie Tundu Lissu. Leo amechukua fomu ya kugombea, na baadhi wameudhika sana, na bado wanarusha maneno. Sijui itasaidia nini katika mazingira haya. Wakati huo huo Katiba yao inamruhusu agombee. Sasa tufanyeje? Binafsi naona (kama walichokuwa wakituaminisha ni kweli kwamba hawana mgogoro kati yao, na kutofautiana mitazamo ni jambo la kawaida), then itabidi wawe pamoja baada ya kupatikana mshindi 'to make the best out of the situation'. Hii njia nzuri ya kutokea katika tatizo lolote la kutegemea au lisilotegemewa - 'to make the best out of the situation'. Vinginevyo wataendelea (hasa wafuasi wao) kurushiana maneno, na sidhani kama kwa namna hiyo watakuwa wakijenga chama chao.
 
Mkuu ulitegemea Mbowe aseme tofauti na alvyosema? Upi ushahidi wa ukweli alichosema mpaka usema Lissu asijitete tena achutame?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…