Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #161
Naomba uniamini, mimi situmwi na mtu!, najituma mwenyewe.Kamshukuru Wenje kwa kukutuma ili ujue mapungufu ya mbowe ambayo hukuyajua awali
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uniamini, mimi situmwi na mtu!, najituma mwenyewe.Kamshukuru Wenje kwa kukutuma ili ujue mapungufu ya mbowe ambayo hukuyajua awali
Sio namtisha Lissu, baada ya Mbowe kutangaza anagombea, kwa jinsi hawa jamaa walivyo manyumbu, unadhani kuna uchaguzi tena?. Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema ndio umemalizika leo!, kinachofuata ni kukamilisha tuu taratibu ili kuonyeshea tuu, kuwa Chadema wanafanyaga uchaguzi wa Mwenyekiti!.Usimtishe Lisu wache tufike kwenye box hakuna kujitoa
Hao watu wa kumtoa mtu kwenye kitu chake ni kina nani?。 Mbowe ni born & breed Chadema, Lissu ni mtu wa kuja tuu!。Bado ngoma haijaisha lazima tumtoe Mbowe
Katika uchaguzi kuna kushida na kushindwa. Lissu akishinda atafurahi, akishindwa atakubali na asubiri wakati mwingine. Hiyo ndiyo demokrasia.Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Naomba kuliza chadema ni chama cha siasa au saccoss ya ayatollah mboww?Sio namtisha Lissu, baada ya Mbowe kutangaza anagombea, kwa jinsi hawa jamaa walivyo manyumbu, unadhani kuna uchaguzi tena?. Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema ndio umemalizika leo!, kinachofuata ni kukamilisha tuu taratibu ili kuonyeshea tuu, kuwa Chadema wanafanyaga uchaguzi wa Mwenyekiti!.
P
Lissu ni mtingishaji wa meza za vinywaji hatari wanamuogopa sanaKinachokwenda kumpata Mbowe ndio aibu ya mwaka..Hata hivyo mbona watu wa Ccm ndio munatoa sana ushauri hii ishu!?
Alipata kura 1 tu huyu, 3 hakufika kabisa....Mtoa mada alivyogombea katika kura za maoni kupitia chama chake na kupata kura sijui 3 so Kwake ilikua amevuliwa nguo ? Mbona yupo na maisha yanaenda ,ajabu sana hii
Mayalla ,nakuita mala ya pili ,mkuu Mayala ,kwa level yako sio wa kutoa maoni mepesi namna hii , nimekushangaa sana mkuu, kwamba hujui maana ya uchaguzi ni kushindana katika sanduku la kura mkuu, Lissu kavuliwa nguo wapi ,na shida nini mpaka mda huu mpaka uyaseme haya,Naomba uniamini, mimi situmwi na mtu!, najituma mwenyewe.
P
Shukrani , mkuu kwa kunipa up to date nzuri , kama ndivyo mbona sie hatukunyanyua mdomo sema amevuliwa nguo? kumbe uchaguzi anaujua kwamba kuna kushinda na kushindwa , sasa aya ya kukandia upande wa pili anayatoa wapi? Uyu ndugu yangu tena mwanasheria kabisa .Alipata kura 1 tu huyu, 3 hakufika kabisa....
Kura ndiyo inaamua hofu ya Nini?Kwanini msimpe Lissu nguvu akashinde kwenye sanduku la kura?
Haya mambo, Kwa upande wangu, ni magumu sana. Tatizo la rushwa ndani ya chama ni vigumu kulitatua through media. Labda inawezekana, sijui! Mbowe alitaja kitu kinachoitwa 'teamwork'. Katika context alivyoiweka (kama ni kweli) kupata ufumbuzi wa pamoja ni vigumu. Kwa upande mwingine, ni rahisi sana sisi watu wa nje kuwa na upande na kukataa kuona au kusikiliza upande mwingine unasema nini. Mfano, kuna watu walitaka sana Mbowe asigombee, amwachie Tundu Lissu. Leo amechukua fomu ya kugombea, na baadhi wameudhika sana, na bado wanarusha maneno. Sijui itasaidia nini katika mazingira haya. Wakati huo huo Katiba yao inamruhusu agombee. Sasa tufanyeje? Binafsi naona (kama walichokuwa wakituaminisha ni kweli kwamba hawana mgogoro kati yao, na kutofautiana mitazamo ni jambo la kawaida), then itabidi wawe pamoja baada ya kupatikana mshindi 'to make the best out of the situation'. Hii njia nzuri ya kutokea katika tatizo lolote la kutegemea au lisilotegemewa - 'to make the best out of the situation'. Vinginevyo wataendelea (hasa wafuasi wao) kurushiana maneno, na sidhani kama kwa namna hiyo watakuwa wakijenga chama chao.Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Kupeleka bahari dodomaSera zake ni zipi ukiacha ya ubwabwa?
Hofu nnayo mimi au wafuasi wa Lissu?Kura ndiyo inaamua hofu ya Nini?
Haha. Sio mbaya at least anafikiria nje ya box kutengeneza artificial lake.Kupeleka bahari dodoma
Mkuu ulitegemea Mbowe aseme tofauti na alvyosema? Upi ushahidi wa ukweli alichosema mpaka usema Lissu asijitete tena achutame?!Wanabodi