Yaani nimefanya hayo kwa Msisitizo. Cheap Promo!! CHEAPEST!! Yaani siku Wanawake/Mabinti kwenye hii Tasnia wakijielewa, tutafika mbali sana!! Aliewaroga, hata kaburi halitambuliki liko wapi!😡😡yan hapa ndo maana nazidi kuushusha muziki wa vijana wa bongo.....kulikua na maana gani kutafta kiki kwa ajili ya wimbo huu wakati wahusika ni wasanii wakubwa tu wenye majina? nimewadharau sana Mwijaku, Pilipili na huyu mwanamke wao....Damn It!