Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Baada ya kuzozana kwa muda mrefu Mwijaku na Mwenzie hatimae wimbo waliokua wanaupa kiki watoka hii ina maanisha kwamba ilikua ni mzozo feki kati ya vijana hao wawili kuupa kiki wimbo wa Mrisho mpoto ft Harmonize. Kiukweli wimbo ni mzuri ila beat lake naona ndo zaidi sijui ni Laizer kaitengeneza au nani.