Baada ya Mc Pilipili na Mwijaku kuzozana hatimae wimbo watoka

Baada ya Mc Pilipili na Mwijaku kuzozana hatimae wimbo watoka

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Baada ya kuzozana kwa muda mrefu Mwijaku na Mwenzie hatimae wimbo waliokua wanaupa kiki watoka hii ina maanisha kwamba ilikua ni mzozo feki kati ya vijana hao wawili kuupa kiki wimbo wa Mrisho mpoto ft Harmonize. Kiukweli wimbo ni mzuri ila beat lake naona ndo zaidi sijui ni Laizer kaitengeneza au nani.
 
yan hapa ndo maana nazidi kuushusha muziki wa vijana wa bongo.....kulikua na maana gani kutafta kiki kwa ajili ya wimbo huu wakati wahusika ni wasanii wakubwa tu wenye majina? nimewadharau sana Mwijaku, Pilipili na huyu mwanamke wao....Damn It!
 
Kwaio bongo imeshindikana kabisa kitu kuwa kikubwa bila kiki za kijinga?
 
Muziki wa bongo unaamshwa kwa kiki kumbe? Ndio maana miziki wetu unadumu muda mfupi kama ladha ya BigG mdomoni mwa mtafunaji. Muziki hauna nguvu hadi usukumwe na kiki hadi kuwatumia mama zao waliowazaa.

Nimewadharau sana hawa wasanii wetu. Ndio maana nao wanatumika kama Big G tu [emoji855][emoji855][emoji855]
 
Ukiona tu hawatoi mpaka watafute kiki ujue mzigo ni famba ni kama machinga anakuuzia famba ila anakuambia hii jeans kama ya Chriss Brown
 
Mpoto kaanza kuwa kungwi zile za Mpendwa mjomba ile ni shule na yule anaegawa visheti ni mwalimu wengine watauza kesho watafanya nini ikiwa hawajui kesho yao. kwisha habari tunyooshe baba
 
Hovyo kabisa, next time hawampati mtu.....jinga kabisa hawa.
 
Sawa.
Japo idea ya video wamecopy ADA ya Mr.flavor
 
kanyimbo kazuri kanasindikizwa na tabasamu bashasha la Nicole...huyu mc makelele kwenye video yenyewe kanaonekana kwa bahati mbaya.
 
yan hapa ndo maana nazidi kuushusha muziki wa vijana wa bongo.....kulikua na maana gani kutafta kiki kwa ajili ya wimbo huu wakati wahusika ni wasanii wakubwa tu wenye majina? nimewadharau sana Mwijaku, Pilipili na huyu mwanamke wao....Damn It!
Yaani nimefanya hayo kwa Msisitizo. Cheap Promo!! CHEAPEST!! Yaani siku Wanawake/Mabinti kwenye hii Tasnia wakijielewa, tutafika mbali sana!! Aliewaroga, hata kaburi halitambuliki liko wapi!😡😡
 
Back
Top Bottom