Pre GE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA ILIWAHI KUONDOKEWA NA MAKATIBU WAKE WAKUU Dr. KABOUR ikaendelea kuchanja mbuga. Aliondoka tena Dr. Mashinji katibu Mkuu bado ikaendelea kuchanja mbuga.
kwahiyo unazungumzia nini sasa hapo kwa mfano gentleman? don't panic, relax πŸ’


wanaweze kuondoka waandamizi wote chadema kuhamia CCM, but hiyo haitafuta uwepo wa vyama vingi nchini,

maswali yangu rahisi tu,
kwamba baada ya Msigwa kuondoka chadema, nani atafuata na ataelekea chama gani cha siasa humu nchini πŸ’
 
Saambaya
 
Hii nchi wenye njaa ni wengi zaidi kuliko wapigania haki na unafuu wa maisha kwa wananchi
unapiganiaje haki na una njaa wewe 🀣

au ndio maana hua pana mihemko na ghadhabu sana kwenye mijadala. yaweza kua ni njaa eeπŸ’
 
Hilo unaliuliza jukwaani au wewe tayari unajua nani anafuata. Tujuze nani anafuata.
 
Hilo unaliuliza jukwaani au wewe tayari unajua nani anafuata. Tujuze nani anafuata.
mie sio mtu wa ramliπŸ’

mie ni dissector wa kisiasa,
na pose a motions za kisiasa kutokana na hali halisi, tunajadiliana pamoja kwa umoja na kushare thoughts juu ya hoja msingi πŸ’
 
Fweza fwezeha πŸ˜³πŸ™„πŸ™Œ
Waswahili Wanasemaga
Mtu akikaa miaka kadhaa nje ya ulingo unategemea atakula nini πŸ˜… ???

Hakuna baunza wa njaa ! Tusidanganyane !
Iko vile ndugu zanguni πŸ˜…πŸ€ 
kwahiyo kuna wasiovumilia njaa wanaweza kumfuata?

eti nduguzanguni 🀣
 
Watanzania wengi wanakosea kitu kimoja, kufhani kuwa ukombozi wao utatokea kwneye vyama vya siasa. Thats impossible
Kweli kabisa, unadhani mtiti kama wa juzi wa vijana Kenya ingekuwa hapa kwetu sii tungemkuta bibi Kizimkazi Katia timu huko kwao na sasa hivi tunazungumza mengine?
Wabunge hawa wajeuri wakipewa mkong'oto mnadhani wanaweza kuhimili hawa?
Na hiyo ndio dawa pekee ya kuwanyoosha kuliko mavikao ambayo wenyewe wanayadharau.
 

Attachments

  • 20240627_143550.jpg
    95.8 KB · Views: 2
Navyojua Lissu ana akili za Act wote plus msigwa na mboga mboga woteee na cuf kama kifungashio.
 
Lakini Ndio Demokrasia yenyewe hiyo, kila mmoja anao uhuru wa kuchagua panapomfaa.

Tatizo tunaimba demokrasia ila hatuwezi kumudu mikiki yake, Msigwa katumia uhuru wake kuchagua upande anaoutaka kwa sasa kesho akihamia CUF bado hakuna shida.

Bado tunahitaji elimu kuhusu Demokrasia hatuijui na hatuwezi kuiishi
 
kwa mihemko ya kibongo bongo kutakua kuna kuchakazana kwa moto kama vile mbuga za wanyama kwenye mawindo ya swala 🀭
 
Navyojua Lissu ana akili za Act wote plus msigwa na mboga mboga woteee na cuf kama kifungashio.
Tundu lissu hana tena mpya, amemaliza kisiasa ata majukwaani saiv anapiga kelele tu haonekani kuwa na hoja za maana amekwisha, Lissu ilikuwa zamani sasa anadandia hoja za kibaguzi tu kwa wazanzibari

Msigwa atazidi kuivuruga chadema, huyo lissu mwenyewe pia nina wasiwasi naye kitambo kuwa ndumila kuwili, aliongea na mama kule belgium maneno ya siri mpaka leo hajasema walipanga nini
 
Halima Mdee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…