Pre GE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA ILIWAHI KUONDOKEWA NA MAKATIBU WAKE WAKUU Dr. KABOUR ikaendelea kuchanja mbuga. Aliondoka tena Dr. Mashinji katibu Mkuu bado ikaendelea kuchanja mbuga.
kwahiyo unazungumzia nini sasa hapo kwa mfano gentleman? don't panic, relax 🐒

wanaweze kuondoka waandamizi wote chadema kuhamia CCM, but hiyo haitafuta uwepo wa vyama vingi nchini,

maswali yangu rahisi tu,
kwamba baada ya Msigwa kuondoka chadema, nani atafuata na ataelekea chama gani cha siasa humu nchini 🐒
 
Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa.

Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo na matarajio binafsi ya mwenyekiti na makamu wa Chadema Taifa kwa siku zijazo, kwa chama hicho.

Kuondoka kwake hapawezi kukuosa wala kuacha madhara, makovu au athari za kisiasa. Hakuondoka chadema kwasababu tu ya kushindwa uchaguzi wa kiti cha uongozi wa kanda, alichokua akikitetea. kuna mambo mazito yamechochea msigwa kuondoka chadema, siyo tu aliyoyataja wakati akijiunga CCM.

Upo mshindo na mgandamizo mkubwa sana ndani ya Chadema unakuja. Msigwa ni mtengeneza njia tu. kuondoka kwa msigwa kuna mtikisiko na impacts za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja chadema, ukubali au ukatae, politically speaking.

Believe me or not, Muchungaji Msigwa ana watu, hususani kanda ya nyasa ataondoka nao taratibu siku hadi siku, na kuinyong'onyeza au kuidhoofisha chadema kwa kiasi katika eneo hasa la nyasa.

Alidhalilishwa sana, alihujumiwa sana, alifedheheshwa sana, alidhulimiwa sana kwenye uchaguzi wa ndani kanda ya Nyasa. Haingekuwa rahisi kuvumilia manyanyaso yale yaliyochochewa na fedha za miongoni mwa waandamizi wa chama chake cha zamani.

Kuondoka kwa mchungaji msigwa kunaashiria na kuonyesha kwamba chadema haiko Salama. Kuna fukuto la chini kwa chini. Kuna vibrations katika moyo wa kila muandamizi. Hofu na hali ya taharuki na kutoaminiani imetanda chadema. kila moja yuko makini na anachosema, anachoskia na anachoambiwa na mwenzake.

Unadhani kwanini msigwa kavutiwa kujiunga na CCM na sio kwingineko?

Anaefuata ni nani baada ya Msigwa, mpaka kufikia 2025? Huyo anafuata atalekea chama gani cha siasa?🐒
Saambaya
 
Hii nchi wenye njaa ni wengi zaidi kuliko wapigania haki na unafuu wa maisha kwa wananchi
unapiganiaje haki na una njaa wewe 🤣

au ndio maana hua pana mihemko na ghadhabu sana kwenye mijadala. yaweza kua ni njaa ee🐒
 
kwahiyo unazungumzia nini sasa hapo kwa mfano gentleman? don't panic, relax 🐒

wanaweze kuondoka waandamizi wote chadema kuhamia CCM, but hiyo haitafuta uwepo wa vyama vingi nchini,

maswali yangu rahisi tu,
kwamba baada ya Msigwa kuondoka chadema, nani atafuata na ataelekea chama gani cha siasa humu nchini 🐒
Hilo unaliuliza jukwaani au wewe tayari unajua nani anafuata. Tujuze nani anafuata.
 
mie sio mtu wa ramli🐒

mie ni dissector wa kisiasa,
na pose a motions za kisiasa kutokana na hali halisi, tunajadiliana pamoja kwa umoja na kushare thoughts juu ya hoja msingi 🐒
 
Fweza fwezeha 😳🙄🙌
Waswahili Wanasemaga
Mtu akikaa miaka kadhaa nje ya ulingo unategemea atakula nini 😅 ???

Hakuna baunza wa njaa ! Tusidanganyane !
Iko vile ndugu zanguni 😅🤠
kwahiyo kuna wasiovumilia njaa wanaweza kumfuata?

eti nduguzanguni 🤣
 
Watanzania wengi wanakosea kitu kimoja, kufhani kuwa ukombozi wao utatokea kwneye vyama vya siasa. Thats impossible
Kweli kabisa, unadhani mtiti kama wa juzi wa vijana Kenya ingekuwa hapa kwetu sii tungemkuta bibi Kizimkazi Katia timu huko kwao na sasa hivi tunazungumza mengine?
Wabunge hawa wajeuri wakipewa mkong'oto mnadhani wanaweza kuhimili hawa?
Na hiyo ndio dawa pekee ya kuwanyoosha kuliko mavikao ambayo wenyewe wanayadharau.
 
Attachments

  • 20240627_143550.jpg
    20240627_143550.jpg
    95.8 KB · Views: 2
Yaani mimi ni ACT lakini nasikia maumivu makali sana Msigwa kuhamia ccm, yule jamaa ana akili kubwa na hoja na ushawishi mkubwa kisiasa ni bora Msigwa kuliko viongozi wa wote wa chadema ata Tundu Lissu hamuoni msigwa nadhan Tanzania upinzani umeenda na maji,

Msigwa bora angestaafu siasa au chama chengine chochote gharama yake ni kubwa mno, mfano wa msigwa kuhama chadema labda ni kama vile kipindi kile tungesikia maalim seif ameiacha CUF na kurudi ccm. Ata Lipumba alipoiacha CUF hakukuwa na maumivu kama ninayoyahisi msigwa kutoka upinzani.

Nafkiri sasa napata picha Tanganyika hakuna viongozi madhubuti nimevunjia moyo sana
Navyojua Lissu ana akili za Act wote plus msigwa na mboga mboga woteee na cuf kama kifungashio.
 
Kuondoka kwenye chama kwenda CCM tatizo kubwa ni uongozi lakini pia pesa zinazopenyezwa na CCM chadema walikwisha jua udhaifu wao,kuna external force na internal force. CCM anapambana sana kukiua hicho chama kwa vile ni tishio kwao wala siyo ACT au CUF au chochote. Ndani pia Mbowe na kamati yote wafanye tathmini ya nini misukumo ya ndani inakipasua chama je ukabila,ukiukwaji wa katiba yao au nini zipo dynamics nyingi wapate wataalam wawafanyie utafiti kujua changamoto vinginevyo watakufa kabisa wanaofuatia kuhama ni covid 19 na Lissu au Heche/ Pambalu
Lakini Ndio Demokrasia yenyewe hiyo, kila mmoja anao uhuru wa kuchagua panapomfaa.

Tatizo tunaimba demokrasia ila hatuwezi kumudu mikiki yake, Msigwa katumia uhuru wake kuchagua upande anaoutaka kwa sasa kesho akihamia CUF bado hakuna shida.

Bado tunahitaji elimu kuhusu Demokrasia hatuijui na hatuwezi kuiishi
 
Kweli kabisa, unadhani mtiti kama wa juzi wa vijana Kenya ingekuwa hapa kwetu sii tungemkuta bibi Kizimkazi Katia timu huko kwao na sasa hivi tunazungumza mengine?
Wabunge hawa wajeuri wakipewa mkong'oto mnadhani wanaweza kuhimili hawa?
Na hiyo ndio dawa pekee ya kuwanyoosha kuliko mavikao ambayo wenyewe wanayadharau.
kwa mihemko ya kibongo bongo kutakua kuna kuchakazana kwa moto kama vile mbuga za wanyama kwenye mawindo ya swala 🤭
 
Navyojua Lissu ana akili za Act wote plus msigwa na mboga mboga woteee na cuf kama kifungashio.
Tundu lissu hana tena mpya, amemaliza kisiasa ata majukwaani saiv anapiga kelele tu haonekani kuwa na hoja za maana amekwisha, Lissu ilikuwa zamani sasa anadandia hoja za kibaguzi tu kwa wazanzibari

Msigwa atazidi kuivuruga chadema, huyo lissu mwenyewe pia nina wasiwasi naye kitambo kuwa ndumila kuwili, aliongea na mama kule belgium maneno ya siri mpaka leo hajasema walipanga nini
 
Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa.

Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo na matarajio binafsi ya mwenyekiti na makamu wa Chadema Taifa kwa siku zijazo, kwa chama hicho.

Kuondoka kwake hapawezi kukuosa wala kuacha madhara, makovu au athari za kisiasa. Hakuondoka chadema kwasababu tu ya kushindwa uchaguzi wa kiti cha uongozi wa kanda, alichokua akikitetea. kuna mambo mazito yamechochea msigwa kuondoka chadema, siyo tu aliyoyataja wakati akijiunga CCM.

Upo mshindo na mgandamizo mkubwa sana ndani ya Chadema unakuja. Msigwa ni mtengeneza njia tu. kuondoka kwa msigwa kuna mtikisiko na impacts za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja chadema, ukubali au ukatae, politically speaking.

Believe me or not, Muchungaji Msigwa ana watu, hususani kanda ya nyasa ataondoka nao taratibu siku hadi siku, na kuinyong'onyeza au kuidhoofisha chadema kwa kiasi katika eneo hasa la nyasa.

Alidhalilishwa sana, alihujumiwa sana, alifedheheshwa sana, alidhulimiwa sana kwenye uchaguzi wa ndani kanda ya Nyasa. Haingekuwa rahisi kuvumilia manyanyaso yale yaliyochochewa na fedha za miongoni mwa waandamizi wa chama chake cha zamani.

Kuondoka kwa mchungaji msigwa kunaashiria na kuonyesha kwamba chadema haiko Salama. Kuna fukuto la chini kwa chini. Kuna vibrations katika moyo wa kila muandamizi. Hofu na hali ya taharuki na kutoaminiani imetanda chadema. kila moja yuko makini na anachosema, anachoskia na anachoambiwa na mwenzake.

Unadhani kwanini msigwa kavutiwa kujiunga na CCM na sio kwingineko?

Anaefuata ni nani baada ya Msigwa, mpaka kufikia 2025? Huyo anafuata atalekea chama gani cha siasa?🐒
Halima Mdee.
 
Back
Top Bottom