Kwenye mdahalo wa leo live ITV, Wassira akiwa peke yake dhidi ya Prof.Lipumba,Tundu Lissu,Humphrey Polepole na mashabiki wa ukawa mdahalo ulikuwa Moto.
Mpaka mwisho wa Mdahalo Wassira has become the Man of the Match, Lissu kaaibika na Lipumba akaishiwa Takwimu.
Wassira kawabwaga ukawa kwa aibu kubwa huku ukawa wakibaki kulialia kuwa wanataka kuonana na Rais.
Baada ya mdahalo uliokusanya Itv juu ya wananchi kujua nani anataka kuwazuia watanzania kupata katiba Mpya.
Je sasa unaweza kutoa jibu ulilopata?
Karibu....
Nilikuwa ndani ya ukumbi kwakweli vijana wa chadema wamejiaibisha sana, wanapiga kelele zisizokuwa na maana, uchunguzi umeonyesha kuwa vijana hao wamelipwa kwa kukaa Bagamoyo siku tatu na wamesombwa kwa coster mbili kutokea huko.
Wassira has made the Tanzania mass aware.
Ukawa wameburuzwa kwa hoja zilizojaa afya.
Dah! Tulikuwa tunaangalia ITV wote au wengine tulifanywa viini macho? Mbona Wassira alizidiwa pamoja na kubebwa sana na da Rose? Wewe hukumuona Wassira akipandwa na Jazba mara kwa mara? Hoja ipi ya maana aliyoweza kuipangua? Mbona zote zilimuelemea mwanzo mwisho? Kuwa mkweli wa nafsi yako utakuwa huru ndugu yangu... CCM hawachomoi this time...
Mngemuuliza Wasira: Na waliotoa maoni ya serikali 2 wanatoka mkoa gani?
Kwa mujibu wa hitimisho la ITV ni kwamba UKAWA ndo wanavuruga mchakato na wametakiwa kurejea bungeni kama wanalitakia mema taifa hili
​wasira kifaa haswa ni hazina kwa taifa letu.
Waliozidiwa ni UPAWA mpaka washabiki wao walitaka kuandamana ndani ya ukumbi kwa kupiga makelele na kuzomea ovyo kama vile wanywa gongo.
we utanufaiki nini na serikali 3 wakati huwajibiki kujitafutia riki. Umemaliza shule na unangojea ajira badala ya kujiajiri na kutwa umo kwenye maandamano ya UKAWA.
chama cha aliekua anazomewa kweny mdahalo, gamba
aliezomewa ni wasira , hakuna haja ya kung'ata ulimi .
Mkuu ,maendeleo ni kitendo cha taratibu ,wamachinga ambao hadi leo wanalazimishwa kwenda shule unategemea ni lini wataendelea? wakati wanajitahidi kumaliza elimu ya msingi kwa taaabu ,wengine wanafikiria ni nchi gani duniani inatoa elimu boraKutangulia si hoja mkuu. Wangapi wanatangulia na mwisho wa siku wanabaki nyuma? Cha muhimu ni fursa. Usishangae baadae wamachinga ndio wakawa wapo juu zaidi kuliko wachagga
ukawa aka uchawa aka uchawi