Baada ya mdahalo uliokusanya Itv juu ya wananchi kujua nani anataka kuwazuia watanzania kupata katiba Mpya.
Je sasa unaweza kutoa jibu ulilopata?
Karibu....
Wewe Hukuona Aliyekuwa Anazomewa?? Yule Na Chama Chake Ndo Hawawatakii Mema Watz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya mdahalo uliokusanya Itv juu ya wananchi kujua nani anataka kuwazuia watanzania kupata katiba Mpya.
Je sasa unaweza kutoa jibu ulilopata?
Karibu....
Ndiyo haya ya kufunga tovuti ya tume huru ya katiba. Kwa nini mmeitoa hii topic harakaharaka hivi, mmeshatishiwa na mahitarahamwe!Tena huyo jamaa ndiyo alitema pumba zaidi pale alipoingiza propaganda kwenye upatikanaji katiba mpya, pale aliposema kuwa waTz, hawahitaji katiba mpya, badala yake ukiwagawia fulana, khanga na kofia, basi itakuwa poa kabisa, kwani watakuwa weshapata maisha bora, kama walivyoahidiwa na JK!
Lissu leo kawatukana Masheikh na Mapadre na kuwaita kuwa ni makada wa CCM.
kumbe ukiitwa CCM ni tusi
tundu lissu anasema tupige kura ya kutaka muungano au la? kazaliwa 1968 muungano unamhusu nini?
Naona unayeyusha mjadala. Leo mmebanwa ile mbayahivi kesho iddi ipo jamani?
hivi kesho iddi ipo jamani?
Nilikua Nafatilia Kwa Ukaribu Mdahalo Wa Katiba.. Katika Hali Ya Kushangaza Na Kusikitisha Mh Masatu Wasra Amesema Kwamba Maoni Mengi Ya Kutaka Serikali 3 Yalitoka Kigoma Tu... Hivi Inamaana Kigoma Siyo Tz?? Je Sisi Wakigoma Hatuna Haki Ya Kutoa Maoni Ya Katiba?? Au Yeye Alitaka Maoni Yatoke Mkoa Gani Ndo Ayakubali Kwamba Ni Ya Wanainchi?. Watu Wa Kigoma Tumekua Tukibaguliwa Sana Kwamba Ni Wakimbizi, Je, Wasira Anataka Kutoa Ujumbe Kwa Watu Wa Kigoma Kwamba Siyo Watanzania?? Naomba Kutoa Hoja..