Tudai Haki
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 315
- 80
Wanaotaka serikali mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha uongo kila mtu ameona jinsi Wassira alivyo mwamba na ameonesha uwezo kuzidi hao UKAWA!Sio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.
Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
Baada ya mdahalo uliokusanya Itv juu ya wananchi kujua nani anataka kuwazuia watanzania kupata katiba Mpya.
Je sasa unaweza kutoa jibu ulilopata?
Karibu....
Kweli kabisa Mkuu. Wassira kawaumbua sana na hata ITV wameweka bayana kuwa UKAWA ndio wanaokwamisha mchakato huu na wametakiwa kurudi bungeni bila ya mashartiWewe acha uongo kila mtu ameona jinsi Wassira alivyo mwamba na ameonesha uwezo kuzidi hao UKAWA!
Kanuni inayoruhusu bunge na wajumbe wa katiba kurekebisha ,kuongeza ,kuondoa jambo lolote kwenye Rasimu unajua kipo?
Hayo ni mawazo ya waliofilisika kimawazotatizo wanaingia na rasimu yao
Hakuna atakayewaachia na mkiendelea na upuuzi wenu lazima tuwatandike.Hivi CCm kwa nn wasituachee...Na Tanganyikaaa yetu...wamekula vya kutoshaa....
Mkuu, pamoja na kuwa wao walikuwa wengi, walishindwa kabisa kupangua hoja za Wassira. Wassira alikuwa anajibu hoja kwa ushahidi. Aliwaua kabisa pale aliposema kuwa bila UKAWA, akidi inapatikana na katoa takwimu za wabunge waliobaki kwa bara na visiwani. Wao walibaki na bla blaaaaa tuLeo ndo nimeamin'h UKAMA ni kama debe tupu.
Kelele nyingi kumbe ndani hamna kitu....
Na ule usemi wa akili ndogo kuongozwa na akili kubwa umejidhihilisha leo baada ya mwenyekiti wa chadema kukimbia hoja za kisomi kwa kumpeleka Lissu wakati majiran na washirika wao wa KINAFIKI Cuf wakimpeleka prof.lipumba japo kabwabwaja pumba kama jina lake.
Kusema kweli me sio mwanachama wala mshabiki wa CCM ila ki hoja WASIRA (jeshi la mtu mmoja) kawakimbiza japo watu mnajitoa ufaham kwa ushabiki wenu wa kikekike...
Hoja za CCM zina mashiko kuliko hao wahuni wanaotafta kick kwa kuwasingizia wananchi.
Hakika mawazo haya huwa yanatolewa na wachaga tu. poleni sana. CCM ni nambari one. Wengine mnaiga tu na mtaisoma namba
Katiba tuliyonayo ni the best na ikiboreshwa zaidi itakuwa nzuri zaidiKatiba tulionayo itaendelea kutumika...tusijali.
Lissu leo kawatukana Masheikh na Mapadre na kuwaita kuwa ni makada wa CCM.
Kutangulia si hoja mkuu. Wangapi wanatangulia na mwisho wa siku wanabaki nyuma? Cha muhimu ni fursa. Usishangae baadae wamachinga ndio wakawa wapo juu zaidi kuliko wachaggaChuki zako kwa Wachaga hazitakusaidia chochote sana sana unazidi kuharibu!Walishatangulia hata utambike wapo juu kama muashoki!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hivi umemsikiliza vema tundu lissu?huvi ukimuita mtu kada wa ccm ni tusi? mhhhhhhhh