Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Sio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.
Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
Kumbe nyie ndio mliokuwa mnapiga makelelw ndani ya mdahalo na kutaka kuandamana ukumbini! We kama ulitulia na kuona jeshi la mtu mmoja (mh wasira) alivyowakimbiza UPAWA.