Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Mume wenu Mbowe ndio kawaweka ndoa ya mitala sio! msililiane wivu mi japo sijaoa lakini siwahitaji mmezidi domo la udaku.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri umesema sawa wajumbe wa tume ndiyo wakusikilizwa kwa sasa kwani hawajapewa nafasi tangu raisi alipotoa maelekezo pale bungeniNitumie jukwa hili kueleza kwa hakika namna ninavyomkubali kijana mzalendo POLEPOLE, kwenye mijadala mingi ambayo nimekuwa nikifuatilia nimeona namna anavyojenga hoja, hakika ana uwezo mkubwa wa kufafanua mambo anaeleza mambo kwa kina na hivyo amegeuka kuwa darasa kwa watanzania wengi walioukuwa hawaelewi mchakato mzima wa katiba mpya.
Anatumia kipawa chake na elimu yake ipasavyo kwa watanzania, hawa ndio vijana tunaowahitaji tanzania ya leo. Hatutaki vijana wabinafsi, waoga, na wasio simamia haki na ukweli kwa nchi yao.
kijana POLEPOLE usife moyo endelea mpaka katiba ipatikane yenye maslahi mapana kwa watanzania wote. MUNGU AKUBARIKI.
Labda uwadanganye watu ambao hawakuangalia live mdahalo ule. Pamoja na combination ya mwanasheria na mchumi, ukawa wameshindwa kabisa kutetea hoja za kwa nini wao wanaona ni bora kususia mchakato wa katiba kuliko kurudi bungeniSio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.
Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
Sijui unaweza kujitetea kivipi CCM wanavuruga mchakato?Ccm ndio wanaovuruga taratibu
Bibie si nime kuambia kesho tuka andamane pale Bao tatu guest house nikuandamishe usikie raha maana Una kiu kweli!
Jibu ni kwamba! Mafaidhina wa ccm ndio wanaozuia mchakato.wasira hakua na hoja zenye mashiko,zaidi ya hasira.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Tume ilishamaliza kazi ake ila ni vema kuwasikiliza wajumbe wazalendo kama Humphrey Polepole na si kama Rashidi Ally ambaye amejionesha kuwa yeye alikuwa kwenye tume kwa malengo maalumNafikiri umesema sawa wajumbe wa tume ndiyo wakusikilizwa kwa sasa kwani hawajapewa nafasi tangu raisi alipotoa maelekezo pale bungeni
nafikiri akili zako zomeganda kiasi cha kutokutambua kilicjo jiri ukumbinilabda uwadanganye watu ambao hawakuangalia live mdahalo ule. Pamoja na combination ya mwanasheria na mchumi, ukawa wameshindwa kabisa kutetea hoja za kwa nini wao wanaona ni bora kususia mchakato wa katiba kuliko kurudi bungeni
Leo mmeulizwa swali na hakuna aliyejibu ipasavyo. Mmeulizwa kwamba kama mnajua kuwa mpo wengi mnaotaka serikali tatu, mnaogopa nini kuendelea na mchakato wa bungeni ili ikipitishwa kinyume chenu mhamasishe wananchi wakatae rasimu hiyo? Si Lissu wala Lipumba aliyejibu kisawa sawaMimi huwa ninafurahi sana ninapo gundua kuwa wananchi sasa wamemjua mchawi, mnafiki na mzandiki ni nani. Hii imeonyesha dhahiri baada ya Wasira kuzomewa yeye alidhani anaongea mbele ya majuha kumbe watu sasa wanajua A-z kuwa haki yao imeporwa rasimu iliyo tokana na maoniya wananchi imetupwa imewekwa ya Chukua Chako Mapema
We unavurugwa huko kwenye ma 0713 yako! mi sitaki w.a.s......nge bana hunielewi!
Hakika mawazo haya huwa yanatolewa na wachaga tu. poleni sana. CCM ni nambari one. Wengine mnaiga tu na mtaisoma nambaJibu ni rahisiii ka 2 + 2= 3, Maccm kwishney!!!! Hata wangejitahidi vipi, wasidhani kuwa wao kuwa wengi katika hilo BMK hawawezi kuchakachua maoni ya wananchi.
Wanataka kuhalalisha ulaji wa kodi zetu huku watoe katiba ya ccm. Pole zenu mtazitapika hizo hela. Ushauri; Mmeshakula za kutosha, sasa fungeni hilo bunge mwende kenyuuuuuuu. Mkizidi kula kodi zetu HAKIKA mtazitaapika tuuu one day.