Hama nchi utakufa kwa presha,subiri rungu liwashukieNaona msajili wa vyama kama kawaida anatafuta namna ya kuinusuru CCM dhidi ya anguko la kushindwa uchaguzi
Hii serikali inatia kichefuchefu!
Propaganda za kitoto ili kuipaisha ACT wazalendo ionekane inatisha. Wakati inajikakamua ili ipate wabunge na madiwani. Barua ya kufoji ya tar 14 July.
ABSOLUTELY.Siamini hiyo michezo ya msajili, hizo ni mbinu zile zile alizosema Mzee Tupatupa jana, wanajaribu kukikuza hicho chama kionekane threat, hakuna lolote hapo.
Membe hawezi kuwa threat kwa CCM hata siku moja, Lissu is.
Why wanahaha?
Hofu yao kubwa ni kwa Maalim Seif huko Zanzibar na ujio wa Membe ni kama tu kutia acid kwenye kidonda.Why wanahaha?
Dogo marufuku kuninukuu.
Madaraja na ndege havipigi kura, bali ni wananchi waliotelekezwa ndio wataopiga kura.Magufuli anaogopa nini?Mbona sioni wa kumshinda unless wapinzani waungane.
Hata kuku anaetaka kutaga hahangaiki kiasi hik!
Magufuli hana anachoogopa na hata waungane wote CCM awamu hii wako vizuriMagufuli anaogopa nini?Mbona sioni wa kumshinda unless wapinzani waungane.
Na tusubiri tutaona mengi. Wananchi ndio watakaoamua. Ccm yaweza dhani inajijenga lakini ndio inazidi kuzama katika kaburi lake... je wanadhani bado wanapambana na vyama vya upinzani?Naona msajili wa vyama kama kawaida anatafuta namna ya kuinusuru CCM dhidi ya anguko la kushindwa uchaguzi
Hii serikali inatia kichefuchefu!
Huyu mtungu ukimkuta amejificha kwenye mtaro Kwanza una mla tigo then Mambo mengine yanafataNaona michezo ya kikachero imeanza,Hio ni Zuga tu ili ionekane ACT nao wanapitia Magumu kama ya Chadema.
HAKUNA HATUA ZOZOTE ZITACHUKULIWA DHIDI YA ACT.
Tena anasifiwa na kuonekana mzalendo...Hebu Fikiria yule kiongozi wa umoja wa vijana wa CCM akihimiza kuwapiga wapinzani. Lakini kwenye hayo huwezi kumuona msajili akisema kitu.
Na nyie mmepoa Sana! Huu uvumilivu tumeshakuwa Kama wajinga na wapumbavu!Why wanahaha?
Naomba taarifa zake mkuu, anaitwa Nani, anaishi wapi? Naomba nipate na angalau ushahidi wa video au sautiHebu Fikiria yule kiongozi wa umoja wa vijana wa CCM akihimiza kuwapiga wapinzani. Lakini kwenye hayo huwezi kumuona msajili akisema kitu.
Hahah ww jamaa umenichekesha kinyama aisee haha.Huyu mtungu ukimkuta amejificha kwenye mtaro Kwanza una mla tigo then Mambo mengine yanafata
Na nyie mmepoa Sana! Huu uvumilivu tumeshakuwa Kama wajinga na wapumbavu!
Figisu zote hizi bado tu tunainamisha vichwa Kama makondoo! Tunataka mtuongoze,mkae front tuandamane Tz nzima! Huu upuuzi wa ubakwaji wa demokrasia mpaka lini?