Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hata kuku anaetaka kutaga hahangaiki kiasi hik!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiki tu anafanya hayo ilikutuaminisha isionekane Membe ametumwa na CCM.Taharuki mpya imeibuka ndani ya chama cha ACT Wazalendo baada ya uwepo kwa uwezekano mkubwa wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama vya siasa...
Sio lissu tena?ACT imewashika CCM pabaya!
kuwahadaa wananchi kwamba Membe kuhamia ACT hana mpango mkakati toka ccmWhy wanahaha?
Naye pia kaishika CCM pabayaSio lissu tena?
Lissu ndo kashaishika ccm korodani siku nyingi,sasa kaongezeka na mwingineSio lissu tena?
Shetani ndivyo alivyo mkuu kwani yeye huwaza uharibifu tu.Hebu Fikiria yule kiongozi wa umoja wa vijana wa CCM akihimiza kuwapiga wapinzani. Lakini kwenye hayo huwezi kumuona msajili akisema kitu.
Acha ujinga mkuu,Act naounga mkono maana wao wenyewe wanataka kuia chadema
wenye akili tayari wanaanza kujiuliza hili pia maana Jamaa alisema ujesusi hadi MTU afe ndio unakoma, so alipo yuko kazinikuwahadaa wananchi kwamba Membe kuhamia ACT hana mpango mkakati toka ccm
Hata mm naona hivyo hivyo, wanatuzingua tuNaona michezo ya kikachero imeanza,Hio ni Zuga tu ili ionekane ACT nao wanapitia Magumu kama ya Chadema.
HAKUNA HATUA ZOZOTE ZITACHUKULIWA DHIDI YA ACT.
Mnaleta hofu kwa CCM maana nikiangalia Maalim S. Sharif , Membe, na Siasa za ZanzibarWhy wanahaha?