Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

hapo masisiemu yanawatafuta maalim na membe tu basi, maana kwa Lissu yameshajua ni nini cha kufanya endapo atapitishwa na chama chake na yeye kurudi nchini, shetani huwa anajaribu kila mbinu ila mwisho Wa Siku huwa anashindwa!
 
Hivi kauli za viongozi wa CCM huwa Msajili hazisikii bali anasikia za wapinzani tu?

Hapa wanatafuta njia ya kumzuia Maalim Seif asigombee Zanzibari.

CHADEMA na Lissu mjiandae.
 
Huyo msajili anatumika na CCM kujaribu kubadili mjadala wa hotuba ya kihistoria ya Membe ya kukaribishwa ACT.

Hotuba iliysheheni nukta makini za nia yake ya
1. Ajira kwa vijana
2. Maslahi ya wafanyakazi
3. Katiba mpya
4. Utawala wa sheria na demokrasia
5. Kuboresha demokrasia

Hayo mambo CCM wamefeli wameona njia nzuri ni kuhamisha mjadala
 
Siamini hiyo michezo ya msajili, hizo ni mbinu zile zile alizosema Mzee Tupatupa jana, wanajaribu kukikuza hicho chama kionekane threat, hakuna lolote hapo.

Membe hawezi kuwa threat kwa CCM hata siku moja, Lissu is.
 
Naona michezo ya kikachero imeanza,Hio ni Zuga tu ili ionekane ACT nao wanapitia Magumu kama ya Chadema.

HAKUNA HATUA ZOZOTE ZITACHUKULIWA DHIDI YA ACT.
Hata mm naona hivyo hivyo, wanatuzingua tu
 
Back
Top Bottom