Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

Sijambo kaka uko poa?? Leo nimeamkia kufanya holiday package na uncle wako yaani unafundisha hadi unapata hasira. Kweli walimu wapewe maua yao wana uvumilivu sana [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]View attachment 2741817
My last sibling namchukuliaga Kama mwanangu, AME rithi baadhi ya vitu naona at Fika mbali.
👉She hits good numbers darasani, na ana general knowledge juu ya Mambo.
👉Komaa naye, mi ngoja niuze machungwa ili aje aende havard😂😂
 
Unauza machungwa au juice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... ndio nakomaa nae hapa ila yataka moyo, teachers wavumilivu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…