Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

trudie hujambo my sis[emoji847]
Sijambo kaka uko poa?? Leo nimeamkia kufanya holiday package na uncle wako yaani unafundisha hadi unapata hasira. Kweli walimu wapewe maua yao wana uvumilivu sana [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
20230907_111210.jpg
 
Sijambo kaka uko poa?? Leo nimeamkia kufanya holiday package na uncle wako yaani unafundisha hadi unapata hasira. Kweli walimu wapewe maua yao wana uvumilivu sana [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]View attachment 2741817
My last sibling namchukuliaga Kama mwanangu, AME rithi baadhi ya vitu naona at Fika mbali.
👉She hits good numbers darasani, na ana general knowledge juu ya Mambo.
👉Komaa naye, mi ngoja niuze machungwa ili aje aende havard😂😂
 
My last sibling namchukuliaga Kama mwanangu, AME rithi baadhi ya vitu naona at Fika mbali.
[emoji117]She hits good numbers darasani, na ana general knowledge juu ya Mambo.
[emoji117]Komaa naye, mi ngoja niuze machungwa ili aje aende havard[emoji23][emoji23]
Unauza machungwa au juice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... ndio nakomaa nae hapa ila yataka moyo, teachers wavumilivu aisee
 
Back
Top Bottom