Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

10yrs hapana jamani. Huko ni kupotezeana muda kwa kijinga
Wanawake muwe makini mtu mnae kuwa katika mahusiano maana ndiyo waathirika wakubwa punde mahusiano yanapokwenda hovyo huku hata ndoa huna na siajabu ulikua umebweteka hata chanzo cha kuingizia pesa hamna unaishia kuhangaika....uzuri kule nchi za watu sheria inafuatiliiwa vizuri na inawatetea sana wanawake
 
Naam chief ... lakini mahusiano yake na didy yalichangia mnoo kutunyima burudani sisi walaji wake
So lebo ya bad boys cassie hatarecord tena ?bad boys entertainment ambayo ipo chini ya diddy ni balaa kwa mikito
 
Inaonekana Jamaa bado ana pesa za kutosha na hana mpango wa kufilisika bora afanye anachopenda kinachompa raha.
 
IMG_1089.JPG


Alafu uambiwe kuwa kuna siku mtaachana
Dah
Acha tu Wema nae aolewe na Future Husband wake
 
Anachonikwazaga huyu kaka ni kutokuzeeka.sijui anakula maharage ya wapi,nmezaliwa nimemkuta nakua hadi nazeeka Mzee baba yuko vilevile mnyamwezi wa watu. Pole yao
Ukiwa na mkwanja huwezi zeeka kifala cuz maradhi,stress za kukosa fedha,kudaiwa na ukosefu wa diet ni vitu ambavyo utakuwa unavisikia tu kwa wanadamu wengine...muangalie Koffi Olomide,Werrason,Jb Mpiana,Snoop Doggy,Dr.Dre,Nelly,T.I na wengine kibao wa mambele huwa hawazeeki hovyo

Umasikini unachangia sana watu kuzeeka na kufa!
 
Back
Top Bottom