Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Mbona ilikuwa headline sana mzee. Les alikuja kukiri mwishoni kama alikuwa anampenda sana manzi. Alikuwa anahojiwa na vyombo mbalimbali, kiufupi jamaa alivurugika fulani hivi....
Aisee kweli alimtoa kwenye "maana ryan mnamo mwaka 2008s alikuwa yupo on top sana ... mara akazimika ghafla wakati watu tulitegemea kwamba angekuja kuja kufanya makubwa zaidi
 
IMG_1090.JPG


Huyu Msomali sio mtu mzuri kama alimuacha Kim Porter pamoja na kuzaa nae watoto watatu
sembuse malewa lewa Cassie?
 
Aisee kweli alimtoa kwenye "maana ryan mnamo mwaka 2008s alikuwa yupo on top sana ... mara akazimika ghafla wakati watu tulitegemea kwamba angekuja kuja kufanya makubwa zaidi
Mzee mwaka 2012 na 2013 aliachia album kali sana mbona ? Kuna ile The Black Mozart ni hatari tupuuuu.
 
[emoji3][emoji56][emoji56][emoji16][emoji16][emoji6][emoji6][emoji38][emoji6]
 
Jamaa alikuwa anamtumia tu huyo mwanamke lakini huwa hatulii kwenye mapenzi ya muda mrefu namna hio.

Isitoshe wamefanya sana break-up and make-up vikaos hivyo wanaelewana sana , huedna huko mhble wakarudiana.

Kuna binti mmoja aitwae Jocelyne Chew ambae ameonekana na Combs kwenye viunga vya Staples Center mjini LA, na kule IG wanafuatiliana na Cassie alipogundua hiyo akaacha kumfuatilia Combs wiki ilopita.

Kiuhalisia, Cassie amechukua maamuzi sahihi ingawa ni mgumu kuzingatia fedha za Combs kule benki, matanuzi na mambo mengine ya kutumia pesa.

Ila Combs na Csssie kwa muda walokaa walifaa kutulia pamoja na jamaa ukware ulizidi na umeharibu kila kitu.
 
Anachonikwazaga huyu kaka ni kutokuzeeka.sijui anakula maharage ya wapi,nmezaliwa nimemkuta nakua hadi nazeeka Mzee baba yuko vilevile mnyamwezi wa watu. Pole yao
Mkuu hakuna uchawi hapo ni nizamu tu, kuanzia mlo na mazoezi. Japo ana hela ya kuwa na personal dietician na trainer hata wewe unaweza kujenga nizamu vizuri kwa kula kwa mpangilio.

Matunda , mboga za majani, viazi vitamu, samaki, (nyama ng'ombe, mbuzi, kondoo mara chache sana si nzuri kwa afya yako). kunywa maji mengi fanya mazoezi ( kukimbia) muhimu japo nusu saa kwa siku au lisaa moja mara tatu kwa wiki.

Tumia mafuta yanayokinga mionzi ya jua ( uv rays) sana sana usoni, mionzi ya jua yana zeesha ngozi na pia huweza sababisha kansa ya ngozi. Kwenye mafuta ya mwili chukua yenye SPF 30 kwenda juu.
Wanasayansi wanakwambia kutumia tu mafuta yenye kinga ya mionzi inaweza kurudisha muonekano wa umri wako miaka 5 nyuma.

Vitu vingine ni nizamu tu mkuu.
 
Nikajua Pdidy wa JF. Wacha nije mbio kumsihi abadili msimamo huo na fanyejitihada za kumueleza mwenzake wafunge ndoa!! Kumbe ni huyu 'mnyamwezi' na mtani wake 'mzaramo'.
 
Back
Top Bottom